Ikitokea umeingia kwenye rada za watekaji na hii ni kwakua lazima mara nyingi muhanga awe anajua kwakua watekaji mara nyingi sio wendewazimu wamfuate mtu hivihivi bila sababu.
Sasa ukishayatindinganya na ukaona umepewa onyo la meseji au kufuatwa fuatwa na sura usizozielewa basi mbinu hii utakusaidia popote ukiitumia haraka ,maana watekaji hawajawahi kumpiga mtu risasi hadharani,hivyo lengo lao ni kuondoka na mwali wao.
Sasa CHUKUA MAFUTA YA KULA AU MAFUTA YA OLIVE OIL jipake mwili mzima kiasi kwamba watekaji wakija kukukamata unakua unaweza kujichoropoa kwakua unakua unateleza kama kambale.
FAIDA ZA HII MBINU
1: KUweza kuwatoka watekaji kiulaini kwakua watataka kukushika sehemu za mwili ili wakubebe nawewe mda wote mwili unateleza tu hivyo utajichoropoa na kukimbia
HASARA ZA HII MBINU
1:Ikitokea wamekushika shati au suruali na wakafanikiwa kukuteka basi utakua umejikaanga mwenyewe na MAFUTA YAKO maana mafuta hayo yatatumika kama KILAINISHI wakati wakikuhoji ulivyokua ukijifanya mjanja na kufanya makosa huku ukifikiri hutadakwa.
NB; TANZANIA NI MOJA,SINA PENGINE KWA KWENDA.