Mbinu za kujisafisha kwa mataifa mengine zinvyozidi kuonesha udanganyifu wenu serikali ya CCM. Na hili la UN limebuma

Mbinu za kujisafisha kwa mataifa mengine zinvyozidi kuonesha udanganyifu wenu serikali ya CCM. Na hili la UN limebuma

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,524
Picha anayoonyesha Kombo baada ya kumbabatiza Katiba Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayosema ni ofisini kwa Katibu Mkuu, siyo kweli. HAIKUWA OFISINI kwa maana nyingi, hakuna, Mkutano rasmi wa Kombo na Katibu Mkuu uliofanyika hili alipokea document tu
FB_IMG_1765798135383.jpg

Mazingira ya ofisi za Katibu Mkuu wa UN ni tofauti kabisa
FB_IMG_1765798141596.jpg
na anavyoonyesha Kombo na Machawa wa CCM. Mara nyingi kwa suala kama hili la Tanzania lazima Kombo angepokelewa na katibu mkuu ofisini wake akiwa na sawaidizi wake, balozi wetu umoja wa mataifa pia angekuwepo na kuna picha rasmi uwa zinapigwa kutokana na tukio hilo, vyote hakuna na hakuna taarifa yoyote kutoka UN
Kudhibitisha Hakuna mazungumzo yaliyofanyika na hakuna maoni yoyote kutoka kwa katibu mkuu wala UN wala Kombo awezi tuonyesha video au tweet ya kiongozi huyo wa umoja wa mataifa . Msimamo wa UN bado ni uleule. Ni kweli katibu mkuu amepewa ujumbe kuhusu mambo yaliyotokea wakati wa uchaguzi, na Tanzania ikijieleza kwamba inaweza kuboresha na kwamba wanafanya mazungumzo. Wameiandika lawama baadhi ya watu, wakidai walilipa waandamanaji kuwa ni mikakati ya kumuangusha Samia. Wameweka maneno ya udini na jinsia kama kawaida yao kwenye sehemu ya maelezo.

Hakuna maoni yoyote ya Katibu Mkuu kuhusu suala lenyewe na mazingira aliyopewa ujumbe, ndiyo maana kuna ukosefu wa kauli yoyote kutoka kwa UN.

Baada ya Kombo kukosa kauli aliyotaka kutoka kwa Katibu mkuu akaamua kutumia vyombo vya habari vya Tanzania na picha aliyokutana nayo na Katibu Mkuu kutengeneza hadithi. Kombo amefeli sehemu nyingi kupata picha kama alivyoagizwa na Samia ili kupunguza joto la "Who Are You?". Wanataka wakimaliza hiyo ziara, kama wangepata picha nyingi wangezitumia kuwatisha mabalozi nchini.
FB_IMG_1765798148324.jpg

Kombo alikuwa ametokea USA kujaribu kupiga picha na viongozi wa serikali ya Marekani, zitumike kwa namna hii aliyofanya kwa Katibu Mkuu wa UN. Lakini walichokuwa wamefanya kwa balozi wa Marekani nchini walipofika Marekani wakakosa vikaokwa sababu wanatumia picha wanazopiga na watu vibaya, alianza kufanya haya Mwigulu alipoonana na Father kitima

Hata hivyo Samia alisema tunapewa pesa na nchi hizo kuchafua nchi, na kwao yanatokea. Sasa, mbona unapambana kutafuta picha na habari za uongo mnatengeneza, na ulisema vijipesa vyenyewe siku hizi hakuna.

Ile picha ya juu ndio ofisi ya katibu UN.
FB_IMG_1765798358253.jpg
 
Inashangaza kwelikweli! Yaani wenyewe walidai ati kuna watu wanatumia AI kuchafua nchi kumbe wenyewe ndo wanaongoza kwa matumizi ya AI!
 
Back
Top Bottom