neggirl
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 4,860
- 2,149
Nauna unajitafutia kifo cha pole pole
hakuna mateso duniani kama mwanamke kumpenda mwanaume asiekupenda,hapo ili umpate inabidi ujigonge kwake yes ataingia laini lakini akishakulamba hiyo k utaishi kwa shida maisha yako yote kwenye hayo mahusiano
wacha kabisa
acha asili ichukue mkondo wake usimtongoze mwanaume kamwe? Kwani umekosa nini? Mihemko tu ya muda hiyo..ooooh moyo mdanganyifu???????
Well said! But anaweza kutumia baadhi ya mawazo aliyopewa mfano ya Kaunga..
Na at the end asimtongoze, jamaa ndo awe mtongozaji au wawe wametongozana lol
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Last edited by a moderator: