Sikutishi, hayo si umeyasema mwenyewe?
Kwa maisha yako ya sasa na baadae, kaa mbali na zinaa, na hasa kazini, usitegemee kuja kuwa na mwisho mzuri.
Hujui kaka wa watu ana mipango gani, na vipaumbele vyake ni vipi, Ingekua wewe uko na rafiki yako then kijana anakubughudhi uwe nae na humpendi hao do you feel?
Na hii tayari ni dalili ya huo mwanzo wa matatizo, kijana wa watu anapiga zake kazi, wewe unapata taabu na kitu ambacho hauna uhakika kama kitafanikiwa au lah. Hicho unachodhani ni upendo ni illusion tu, huenda ukajua baadhi ya mambo ya huyo kaka yasikufurahishe na usitake hata kumsikia.
Fanya kazi yako kwa umakini, utapata mtu wa atakaekupenda kukujali, na hata kama ni huyo kaka vuta subira wakati muafaka utafika na nature itachukua mkondo wake. Mtu asiudharau ujana wako!..