Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,501
I am honored, nashukuru sana kwa ushuhuda wako natumaini itasaidia.
Kila mtu anapenda kubelong au kukubalika; so kama unakubali mtazamo/interests za jamaa basi atakuona rafiki which is a good starting point. Ila asi overdo!
Kila mtu anapenda kubelong au kukubalika; so kama unakubali mtazamo/interests za jamaa basi atakuona rafiki which is a good starting point. Ila asi overdo!
Kuanzia leo Kaunga nimekuheshimu sana, una busara ya juu sana! Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao linapokuja suala la kutongoza inatuchukua muda mrefu sana kuonyesha japo dalili tu. Hata hivyo kwa mabinti niliowahi ku- do nao hadi huyu mama Ngina wangu tuliunganishwa na vitu hasa 'hobi' zangu.
Hii tekiniki ya sijue mvalie transparent,chuchu za kusimama etc,utaishia kuonekana huna tofauti na hao mafisi wengine!
Wanaume tunapenda wadada wanaojari mitazamo yetu hata kama ni ya kitoto sana! Huyu binti kaniletea movie ya 'matrix reloaded' sijuhi amejuaje naipenda? Hapo ujue umeanza kubomoa defence ya me!