OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Duu desemba 2012



Duu desemba 2012![]()
![]()
![]()
kama alifanikiwa basi watakuwa na familiaDuu desemba 2012![]()
![]()
![]()
mbona simple tu mwambie shat lako zur hiv mtu anaekupenda akikuambia vaa hilo shat leo na kesho utavaa akisema ndio najua jibu litakua ndio mwambie basi mimi nakwambia vaajamani kuna mkaka hapa ofisini ananivutia mpaka basi, natamani nimwambie live ila najistukia tena kama ataniona kicheche, nifanyeje nimweke karibu yangu,
Umeongea hoja kuu, wakati mwingine sio lazima kuusikiliza moyo.Nauna unajitafutia kifo cha pole pole
hakuna mateso duniani kama mwanamke kumpenda mwanaume asiekupenda,hapo ili umpate inabidi ujigonge kwake yes ataingia laini lakini akishakulamba hiyo k utaishi kwa shida maisha yako yote kwenye hayo mahusiano
wacha kabisa
acha asili ichukue mkondo wake usimtongoze mwanaume kamwe? Kwani umekosa nini? Mihemko tu ya muda hiyo..ooooh moyo mdanganyifu???????
Siyo kweli, ilikuwa zamani we kuwa nae karibu tu ukimpatia nafasi mwambie ataelewa. ila uwe pia chaguo lake kama sivyo asipoelekea kukubali usimlazimishe.preta nipe ujuzi kidogo, hawa kaka zetu ukimkodolea macho na kumwelezea vile unavyojisikia kuhusu yeye anakuona kicheche,
Mtumie wazee au mshenga na apeleke mahari kabisajamani kuna mkaka hapa ofisini ananivutia mpaka basi, natamani nimwambie live ila najistukia tena kama ataniona kicheche, nifanyeje nimweke karibu yangu,
Toa Mshiko tukupige tafu,jamani kuna mkaka hapa ofisini ananivutia mpaka basi, natamani nimwambie live ila najistukia tena kama ataniona kicheche, nifanyeje nimweke karibu yangu,
Daa ni longii sanaa mkuu.Huyo mkaka atakuwa kaacha kazi...
Ni muda..au ashamuoa
Lazima isee maana ni muda sana.kama alifanikiwa basi watakuwa na familia
Njoo unambie hata me hoi kwakojamani kuna mkaka hapa ofisini ananivutia mpaka basi, natamani nimwambie live ila najistukia tena kama ataniona kicheche, nifanyeje nimweke karibu yangu,