Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,655
- 8,584
mwandikie barua...
ha ha kizamani kisasa masantura
mwandikie barua...
preta nipe ujuzi kidogo, hawa kaka zetu ukimkodolea macho na kumwelezea vile unavyojisikia kuhusu yeye anakuona kicheche,
Kwa kweli hata mwanamume kumtokea a 'real woman' kama kampenda kiukweli si rahisi...mara nyingi inabidi kujenga ukaribu kwa gharama ya kupenda vitu anavyovipenda hata kama hujawahi kuwaza kuvipenda.
Then inabidi kumuonesha mshichana kuwa we si mwanaume wa wasiwasi. After observing reaction zake ndo unajilipua.
For a lady sidhani kama kijamii unatakiwa kumwambia direct...Watu wanalazimisha tu na wanawake nao waseme live but its wrong.
Kibiolojia(hata enzi za mababu) wanawake wamekua wakitongoza tena sana tu ...just not like men.
1) Mjali...na unapoanza kumjali uanze taratibu hadi mazoea yakiongezeka na ww uongeze kumjali...Take in mind vitu anavyosema. Siku za mbele akuivisema atajua huwa hupuuzii anachokisema(men want this...to be respected). Kasahau kitu cha kazi msaidie ili kama ingemtia matatani kikazi ajue you saved him(this is typical wife material na mwaneume humheshimu msichana wa hivi)
2) Kama ulivyoelezwa jenga mazoea...tafuta interests zake, changia mijadala yake(reasonably lakini siyo hata kama huna interest nayo unachangia...hii itaweza kuback fire on u), kuwa karibu na watu wa karibu yake(his social cycle) na joke arround with him.(note: hii siyo kucheka kila anachosema only if it is funny should you laugh)
3) be yourself arround him (Ila kama umemsoma na unajua tabia zako fulani hazipendi shun them away!)
4) Once mmeshazoeana ukaribu upo try kupull away then atasense atakachokikosa kama asipofanya mpango wa kukuweka karibu legally then pop! the cat is out of the bag!
5) Kama hutaki kuchezewa usimtege kwa mavazi. Men have two conclusions on you...Umemtamanisha atawaza kulala na wewe. Umemjali, kumuheshimu na kujiheshimu-> atawaza kuspend time with you bila kuwaza kuget into your pants first...
6) NOTE: usimwambie, wewe vumilia if you are worth it atakuambia. Good luck with getting the man of your dream if your intentions are real!
jamani kuna mkaka hapa ofisini ananivutia mpaka basi, natamani nimwambie live ila najistukia tena kama ataniona kicheche, nifanyeje nimweke karibu yangu,
U don't need to complicate.....
Muite pembeni, mtizame machoni mwambie unampenda, tena be confident(sio ukakamae sasa)
using'ate kucha mbele ake, utang'ata badae ukiwa mwenyewe....!!!
Wachache sana wanaokataaga teh! omba asiwe mmoja wapo make hizo aibu sijui utaziweka wapi
Duh.
Au ndo yule aliyenitokea jana hapa ofisini, maana hii ni COPY&PASTE
Sikumaanisha wewe ndo ulinitokea jana. Ila kuna mtu alifanya hivyo hapa ofcn kwa staili hiyo hiyo uliyoielekeza hapo juu.Aku! sio mie......!!!!!!!
mara ya mwisho nimemtokea mwanaume 2006
nna mpango wa kufanya hivo tena soon hapa jf.
Sikumaanisha wewe ndo ulinitokea jana. Ila kuna mtu alifanya hivyo hapa ofcn kwa staili hiyo hiyo uliyoielekeza hapo juu.
ni pm namba yake, nikusaidie kama bado hujafanikiwa
Maombi yako yamesikilizwa, usiwe na shaka muda si mrefu nitakutongoza. Sifukuzii umbali mrefu kama Duma, nafukuzia umbali mfupi kama Chui, hivyo basi usinizungushe, sina muda mwingi wa kupoteza kwenye kutongozana, time is money. Sawa mamaa?
jamani kuna mkaka hapa ofisini ananivutia mpaka basi, natamani nimwambie live ila najistukia tena kama ataniona kicheche, nifanyeje nimweke karibu yangu,
niambie tu Chimala wala usiogope!..mi ntakuelewa na sitakuona kicheche!
i love you, kama ni yeye lakini
... mvalie rohorojo transparent kidogo, then... usimsemeshe..
... vaa braa za kusimamisha tits...
--- Mwalike lunch... don't tell him anything...
-- ukimaliza lunch, baada ya two days mwalike dinner only u two, then mvalie kumuua, then maongezi yakinoga MWAMBIE MKALE TUNDA, utalipia gharama zote na umekuja na condoms paketi 5, yaani za mechi round 15..
... Goodluck..
Jifunze interests zake, ukizijua ziown ili muwe karibu.
Be decent na jiamini
Kuwa naye karibu kiprofessional ila ukipata nafasi a joke or two inaweza kumfanya amiss presence yako ukiwa haupo.
Akisha jenga mazoea then punguza ukaribu, atakufuata mwenyewe.
Nauna unajitafutia kifo cha pole pole
hakuna mateso duniani kama mwanamke kumpenda mwanaume asiekupenda,hapo ili umpate inabidi ujigonge kwake yes ataingia laini lakini akishakulamba hiyo k utaishi kwa shida maisha yako yote kwenye hayo mahusiano
wacha kabisa
acha asili ichukue mkondo wake usimtongoze mwanaume kamwe? Kwani umekosa nini? Mihemko tu ya muda hiyo..ooooh moyo mdanganyifu???????