Mbinu rahisi za kumtokea mkaka

Mbinu rahisi za kumtokea mkaka

Evelyne

[/COLOR]Kama ni kunivunja mbavu basi leo you did. Hapo kwenye red, mbona sisi tunaomba mchana kweupe bila hata wasiwasi? na ninyi wasiwasi wenu tu, mimi naomba ukinipa sawa, ukikataa sawa naendelea mpaka nipate. NJAA HAINA AIBU

Ofisi moja!umempenda kiukweli umejipitisha pitisha tena una hakika ataingia line....
anakucheki tu, ukamwambia unampenda akatae loh!!!
aibu yake haipimiki asikuambie mtu, utatamani uhame ofisi.......
 
Bi dada sijakupata vizuri anakuvutia kivipi? unamaana anakuvutia kwa ajili ya malove au unahitaji ndo aje kuwa Father House?. Ungetuweka wazi kuvutiwa kupi unakozungumzia wengine michango yetu itaanzia hapo, please pre empty me!!!
 
Bi dada sijakupata vizuri anakuvutia kivipi? unamaana anakuvutia kwa ajili ya malove au unahitaji ndo aje kuwa Father House?. Ungetuweka wazi kuvutiwa kupi unakozungumzia wengine michango yetu itaanzia hapo, please pre empty me!!!


ananivutia kwa ajili ya malovee na tukishibana awe father house wangu lol
 
Kwani status yako ikoje sababu kama uko single girl haina kwere usije ukawa unataka kunasisha mwenzio bureeeee
 
Jifunze interests zake, ukizijua ziown ili muwe karibu.
Be decent na jiamini
Kuwa naye karibu kiprofessional ila ukipata nafasi a joke or two inaweza kumfanya amiss presence yako ukiwa haupo.
Akisha jenga mazoea then punguza ukaribu, atakufuata mwenyewe.
Alaah! kuumbe?
Mi kuna mdada hapa hata simuelewi kumbe ndo mchezo wake!
Asenti kwa kunijuza mkuu
 
Unajuaje je kama ana mtu wake?

hapo napo pakuangalia sana dada unaweza poteza muda bure kumbe mtu ana wake, mwambie ukweli usije umiza nafsi yakn,akikataa basi utakuwa umetambua ukweli na mungu atakusaidia utapata mtu utakayempenda .
 
Unajuaje je kama ana mtu wake?

hapo napo pakuangalia sana dada unaweza poteza muda bure kumbe mtu ana wake, mwambie ukweli usije umiza nafsi yakn,akikataa basi utakuwa umetambua ukweli na mungu atakusaidia utapata mtu utakayempenda na anayekupenda.
 
jamani kuna mkaka hapa ofisini ananivutia mpaka basi, natamani nimwambie live ila najistukia tena kama ataniona kicheche, nifanyeje nimweke karibu yangu,

Kwa kweli hata mwanamume kumtokea a 'real woman' kama kampenda kiukweli si rahisi...mara nyingi inabidi kujenga ukaribu kwa gharama ya kupenda vitu anavyovipenda hata kama hujawahi kuwaza kuvipenda.
Then inabidi kumuonesha mshichana kuwa we si mwanaume wa wasiwasi. After observing reaction zake ndo unajilipua.

For a lady sidhani kama kijamii unatakiwa kumwambia direct...Watu wanalazimisha tu na wanawake nao waseme live but its wrong.
Kibiolojia(hata enzi za mababu) wanawake wamekua wakitongoza tena sana tu ...just not like men.

1) Mjali...na unapoanza kumjali uanze taratibu hadi mazoea yakiongezeka na ww uongeze kumjali...Take in mind vitu anavyosema. Siku za mbele akuivisema atajua huwa hupuuzii anachokisema(men want this...to be respected). Kasahau kitu cha kazi msaidie ili kama ingemtia matatani kikazi ajue you saved him(this is typical wife material na mwaneume humheshimu msichana wa hivi)

2) Kama ulivyoelezwa jenga mazoea...tafuta interests zake, changia mijadala yake(reasonably lakini siyo hata kama huna interest nayo unachangia...hii itaweza kuback fire on u), kuwa karibu na watu wa karibu yake(his social cycle) na joke arround with him.(note: hii siyo kucheka kila anachosema only if it is funny should you laugh)

3) be yourself arround him (Ila kama umemsoma na unajua tabia zako fulani hazipendi shun them away!)

4) Once mmeshazoeana ukaribu upo try kupull away then atasense atakachokikosa kama asipofanya mpango wa kukuweka karibu legally then pop! the cat is out of the bag!

5) Kama hutaki kuchezewa usimtege kwa mavazi. Men have two conclusions on you...Umemtamanisha atawaza kulala na wewe. Umemjali, kumuheshimu na kujiheshimu-> atawaza kuspend time with you bila kuwaza kuget into your pants first...

6) NOTE: usimwambie, wewe vumilia if you are worth it atakuambia. Good luck with getting the man of your dream if your intentions are real!
 
Ha ha ha, pete umevaa lkn?
Dah!
Mi msahaulifu sana yani nikivua wife anaikuta chini ya sofa wakati wa usafi...kashaongea sana na mimi nimejitahidi wapi!
MI naasume tu wanajua nimeoa
 
Jifunze interests zake, ukizijua ziown ili muwe karibu.
Be decent na jiamini
Kuwa naye karibu kiprofessional ila ukipata nafasi a joke or two inaweza kumfanya amiss presence yako ukiwa haupo.
Akisha jenga mazoea then punguza ukaribu, atakufuata mwenyewe.

Mmmh, kama vile mbwa anavyomfuata chatu! Kaaazi kweli kweli mkuu Kaunga !
 
Last edited by a moderator:
Jaribu kuwa karibu naye, and as time goes onyesha ishara (indirect) that you need him na angalia the way he respond
 
Back
Top Bottom