Mbinu rahisi za kumtokea mkaka

Mbinu rahisi za kumtokea mkaka

Duh....hii kali mh. Rais.

... mvalie rohorojo transparent kidogo, then... usimsemeshe..
... vaa braa za kusimamisha tits...

--- Mwalike lunch... don't tell him anything...

-- ukimaliza lunch, baada ya two days mwalike dinner only u two, then mvalie kumuua, then maongezi yakinoga MWAMBIE MKALE TUNDA, utalipia gharama zote na umekuja na condoms paketi 5, yaani za mechi round 15..

... Goodluck..
 
Njia nyingine ni kumuignore as if haexist; hiyo sio tu itamjengea curiosity lkn atakuona kama challenge ambayo ni kitu wanaume wengi wanapenda

Mh ! hapo kama ni kwangu ukiniignore imekula kwako maana nakupotezea mbaya atleast show some interest na kuonyesha kunijali ha.
 
Jifunze interests zake, ukizijua ziown ili muwe karibu.
Be decent na jiamini
Kuwa naye karibu kiprofessional ila ukipata nafasi a joke or two inaweza kumfanya amiss presence yako ukiwa haupo.
Akisha jenga mazoea then punguza ukaribu, atakufuata mwenyewe.

nina doubt hapa kidogo sista..mimi ni mwanume..na labda niseme inategemea sana na aina ya mtu mwenyewe.huko juu umesema vema ila hapo bold.....dada awe makini anaweza kumpoteza ndege anaeelekea kabisa mtegoni sababu tu ya ''michezo ya kike'' kama hiyo.......wengine tunapenda''ga'' mchezo umalizwe kama ulivyoanza sasa ukihjifanya tena unaanza kutaka kukimbizwa huwa hatukimbizi tena!!
 
Namuunga mkono, Kaunga kwa sababu attention kwangu mimi ndiyo huwa inanichengua sana. Nikikosa, especially baada ya kuzoea, lazima nitaitokea.
 
it must take time so uwe mvumilivu, mfanye awe frend without sex benefit kwanze, mvute aje upande wako, mwenyewe utamuona anaelekea
 
Nauna unajitafutia kifo cha pole pole
hakuna mateso duniani kama mwanamke kumpenda mwanaume asiekupenda,hapo ili umpate inabidi ujigonge kwake yes ataingia laini lakini akishakulamba hiyo k utaishi kwa shida maisha yako yote kwenye hayo mahusiano
wacha kabisa
acha asili ichukue mkondo wake usimtongoze mwanaume kamwe? Kwani umekosa nini? Mihemko tu ya muda hiyo..ooooh moyo mdanganyifu???????

inategemea, mm nlsha pendwaga na mdada nlkawa nae nkawa namletea poz, akaamua kuniacha, nilihc nmefiwa,nliona umuhmu wake kwangu, roho iliniuma sana..bado napenda lakn ndo hvyo hana hsia na mm tena!
 
wanawake hawa......??? aiseeee
sifa ya mwanamke ni haiba,uoga,upole na huruma....mwanamk hatakiwi kuwa jasiri,mkakamavu
 
hata kumchunia siwezi nikimuona tu najikuta natabasamu, tupo ofisi moja tumetenganishwa na cubes tu, ila alipokaa yeye ni lazima umuone ukiwa unatoka ama kuingia ofisini , nampenda kweli huyu mkaka, tatizo ni huo woga wa kumfikishia ujumbe, maskini mie
 
Yaani najaribu kuangalia comments za wanawake humu, ndio napata picha kwa nini wanaume wataendelea kumemena wanawake without any resistance...endeleeni kumwaga mawazo yenu ingawa kwa asilimia kubwa mengi si mageni kwangu coz I have been there several times na bado naendelea kupata hizo challenges zenu.
 
nahisi kama unanizungumzia mimi vile...
 
Namuunga mkono, Kaunga kwa sababu attention kwangu mimi ndiyo huwa inanichengua sana. Nikikosa, especially baada ya kuzoea, lazima nitaitokea.

..............................''nina doubt hapa kidogo sista..mimi ni mwanaume..na labda niseme inategemea sana na aina ya mtu mwenyewe...''....siku-generalise mkuu.refer post yangu ya msingi.
 
Yaani najaribu kuangalia comments za wanawake humu, ndio napata picha kwa nini wanaume wataendelea kumemena wanawake without any resistance...endeleeni kumwaga mawazo yenu ingawa kwa asilimia kubwa mengi si mageni kwangu coz I have been there several times na bado naendelea kupata hizo challenges zenu.

una maneno makali best, tuambie basi tumekosea wapi,hatustahili kupenda kweli au hicho kipaji chenu mlichojaaliwa cha kuaproach mtuambukize na sie
 
Back
Top Bottom