Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,360
- 108,504
lol, umevaaje leo
mmmh basi si mimi maana leo sijafika ofisini mpaka muda huu, ila nimevaa shati la draft na jeans nyeusi
lol, umevaaje leo
Hahahahahhaha baada ya mastress ya lile jukwaa letu kule at last I have found comfortU don't need to complicate.....
Muite pembeni, mtizame machoni mwambie unampenda, tena be confident(sio ukakamae sasa)
using'ate kucha mbele ake, utang'ata badae ukiwa mwenyewe....!!!
Wachache sana wanaokataaga teh! omba asiwe mmoja wapo make hizo aibu sijui utaziweka wapi
kumbuka wako ofisini haya atayavalia wapi!!!na hii ndo umeshauri iwe first strategy!!!na ofisi si ya wawili tu!!!... mvalie rohorojo transparent kidogo, then... usimsemeshe..
... vaa braa za kusimamisha tits...
Njia nyingine ni kumuignore as if haexist; hiyo sio tu itamjengea curiosity lkn atakuona kama challenge ambayo ni kitu wanaume wengi wanapenda
watu8 hupendi kupendwa jamani, au huwa unajisikiaje mdada akikupenda
jamani kuna mkaka hapa
ofisini ananivutia mpaka basi, natamani nimwambie live ila najistukia
tena kama ataniona kicheche, nifanyeje nimweke karibu yangu,
... mvalie rohorojo transparent kidogo, then... usimsemeshe..
... vaa braa za kusimamisha tits...
--- Mwalike lunch... don't tell him anything...
-- ukimaliza lunch, baada ya two days mwalike dinner only u two, then mvalie kumuua, then maongezi yakinoga MWAMBIE MKALE TUNDA, utalipia gharama zote na umekuja na condoms paketi 5, yaani za mechi round 15..
... Goodluck..
watu wanasahau, we mbona lilikushinda hili best, kwanza vp ile lovebite ishatoka na umesharudi kwa mkeo
hivi wewe si una mwanaume wako na mna mipango nae?plzi pliz
uwe unamwangalia deeply usoni bila kucheka wala kutabasam macho huzungumza lazima atajiuliza kwa nini unamwangalia hivyo atataka kujua ni kwanini na somo lakolitaanzia hapo.hii siipendi lakini mkipata muda wa kutazamana jifanye kama umekasahau kapaja kakokanono bahati mbaya akikiona jidai una aibuuuuuuuuuuuuu.
hembu tuambie wasifu wake, upole, age nk
Jifunze interests zake, ukizijua ziown ili muwe karibu.
Be decent na jiamini
Kuwa naye karibu kiprofessional ila ukipata nafasi a joke or two inaweza kumfanya amiss presence yako ukiwa haupo.
Akisha jenga mazoea then punguza ukaribu, atakufuata mwenyewe.
Hayatuhusu.
Njia rahisi ni kuhakikisha kuwa mwanaume anajenga interest kwako...na interest ni kitu cha nje zaidi...ambacho kitaendelea kuwepo hata baada ya kumegana...
Nauna unajitafutia kifo cha pole pole
hakuna mateso duniani kama mwanamke kumpenda mwanaume asiekupenda,hapo ili umpate inabidi ujigonge kwake yes ataingia laini lakini akishakulamba hiyo k utaishi kwa shida maisha yako yote kwenye hayo mahusiano
wacha kabisa
acha asili ichukue mkondo wake usimtongoze mwanaume kamwe? Kwani umekosa nini? Mihemko tu ya muda hiyo..ooooh moyo mdanganyifu???????
hapana nipo single, niliyekuwa nae tuliachana kitambo sana
una maneno makali best, tuambie basi tumekosea wapi,hatustahili kupenda kweli au hicho kipaji chenu mlichojaaliwa cha kuaproach mtuambukize na sie