Mbinu rahisi za kumtokea mkaka

Mbinu rahisi za kumtokea mkaka

Jifunze interests zake, ukizijua ziown ili muwe karibu.
Be decent na jiamini
Kuwa naye karibu kiprofessional ila ukipata nafasi a joke or two inaweza kumfanya amiss presence yako ukiwa haupo.
Akisha jenga mazoea then punguza ukaribu, atakufuata mwenyewe.
Kaunga umeua mkuu, ngoja na mimi nijifunze hii mbinu
 
Jifunze interests zake, ukizijua ziown ili muwe karibu.
Be decent na jiamini
Kuwa naye karibu kiprofessional ila ukipata nafasi a joke or two inaweza kumfanya amiss presence yako ukiwa haupo.
Akisha jenga mazoea then punguza ukaribu, atakufuata mwenyewe.
We jamaa sio mtu mzuri vizuri. Mana hii ni technic hatutak izoeleke. Ni siraha nzito against man. Ili uifichue ilibid huyo mdada pia akutumie picha ujiridhishe walau kwa vigezo vya awali. La sivyo you have tremendously ruined the 'WANTED'
 
Njia nyingine ni kumuignore as if haexist; hiyo sio tu itamjengea curiosity lkn atakuona kama challenge ambayo ni kitu wanaume wengi wanapenda

Just becoz wanawake wanapenda challenge haimaanishi na wanaume wanapenda challenge, ku-ignore haitakusaidia kumpata mwanaume espcly kama mwanaume mwenyewe hajaku-notice kimapenzi Kaunga
 
jamani YO YO mbona unashangaa sana, na sisi tuna hisia kama nyie unajikuta tu umempenda mtu, bila sababu yoyote ile,

sasa tukiwaambia ndo mnatuona vicheche

Huwez ukawa umempenda mtu bila sababu yoyote ile, huyo mkaka ni handsome ndo maana umempenda, na inaonekana hana time na ww ndo maana umemletea Uzi jf chimala
 
Unaweza pia ukaacha moyo ufanye kazi yake,Moyo na kazi moja kubwa tu Kusukuma damu usiuchoshe sana.
 
Kuwa karibu nae, kuwa karibu kunavutaga hisia za watu wawili: Unaweza kuwa naye karibu kwa;-
1) Jifanye unahitaji msaada wa ki-technical hata kama unajua. Hii inategemea na nature ya kazi mnayofanya. Mfano, kama ni wahasibu jifanye kuna report unataka kuivuta kwenye system ila umesahau au hujui path.
2) Jifanye umechoka kula lunch sehemu moja, na unataka kuchange mazingira, like ' where do u go 4 lunch, i wish niku-join maana huko nakoenda kumenichosha'.
3) Fanya utafiti anapenda kuongelea nini, kama siasa, filamu, mpira etc. ili nawe uongelee hilo, hii itatoa starter ya maongezi yenu.
4) Uwe una-smile kila ukimuona (sio sana, si unajua unaweza ku-smile bila kuonyesha meno).
Ukifanya hivyo hapo juu mtajikuta mmekuwa marafiki wa kawaida, sasa kama una vigezo vya mwanamke anayempenda ye mwenyewe ataanza kukutokea, ukiona hasemi kitu, itabidi ujilipue tu ( yaani umwambie face to face kwenye lunch au dinner).
Angalizo: confirm kama policy ya ofisi yenu inaruhusu mapenzi ofisini, usije kumsababishia kijana wa watu matatizo.
Mmh jamani kumbe ndivyo mnavyotukamata hivyo.!!
 
jamani kuna mkaka hapa ofisini ananivutia mpaka basi, natamani nimwambie live ila najistukia tena kama ataniona kicheche, nifanyeje nimweke karibu yangu,
Tatizo wasichana wenzako wengi wameharibu hali ya mahusiano. Mwanaume anaweza asiwaze kwamba ina upendo wa kwali bali anataka kichunwa. Hali ilivyo tumeshaogopa. Ila sidhani kama una nia utamkosa.

Jaribu kuwa karibu nae. Jaribu kueleza ni nini kinakuvutia kwake. Mwisho atakuwa na interest tu ila usiwe na haraka sana. Ukijenga ukaribu nae atakutongoza. Au unaweza kumwambia jana nilikuota. Akikuuliza nini utamwambia kwasababu it is along story. Kila akikuuliza unasmile na unanwambie kunbe bado hujasahau. Unaweza kumwambia uliota nko sehemu fulani tulivu. Halafu basi achia hapo. Yeye atajiongeza.
 
jamani kuna mkaka hapa ofisini ananivutia mpaka basi, natamani nimwambie live ila najistukia tena kama ataniona kicheche, nifanyeje nimweke karibu yangu,
Remember: If you love something, let it go, if it come again you will know that it is yours, if it is not coming, you will know that it was never made to be.
 
jamani kuna mkaka hapa ofisini ananivutia mpaka basi, natamani nimwambie live ila najistukia tena kama ataniona kicheche, nifanyeje nimweke karibu yangu,


Muombe kumnyonya koni....akiridhika yeye mwenyewe atakuomba papuchi.
 
Viungo vyako vimepatwa na mabadiliko.
 

Attachments

  • 1484849756832.jpg
    1484849756832.jpg
    5.6 KB · Views: 35
kumbe umeamua kuja kuanzisha maada humu si ungenambia tu pale ofisini au ungeniandikia ujumbe jamani alafu upo karibu na rafiki yangu james kwann usimtumie ili ajea anieleze na kwa kuwa umenikera na hata ukinifuata kuja kunambia kuwa unanipenda sikukubalii
 
chukua no yake ya sim, kisha jenga mazoea ya kuchat nae hasa nyakat za usiku, na unapokuwa unachat nae uwe unajaribu kumchombweza chombweza uone respons yake! waweza kumuuliza upo na wifi nn saa hz, akijibu yuko alone unamchombweza tena mwambie kama hayupo bas leo ni zam yangu, yaan unamwingizia maneno mengi ya kumchombweza akijaaa tu amekwisha. ila mm sikushaur umchane hv atakuona kicheche
 
Back
Top Bottom