Denis Kasekenya
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 551
- 166
Step no1:tafuta hela ,2.pata hela ,3.tumia hela 4.pata mwanamke ,SIMPLE N CLEAR hakuna haja ya kutafuta nywele sijui kucha za mwanamke uende kwa matapeli(waganga),sijui nakuota just follow the rules and the rules wil follow you,IAM OUT..!!
brahbrahbrah as usual hazikosekani from watu wanaongalia tamthiliya za Kifilipino
Hii hapana mkuu, ili uitwe mwanamke lazima uwe na jinsia ya kike. Huwezi ukawa na jinsia ya kike halafu usiwe mwanamke (labda kwa wenye jinsia mbili- hii ni case tofauti). Kwa hiyo hapo uliposema kuwa sio kila mwenye jinsia ya kike ni mwanamke sikubaliani nawe. Hata ivyo nipo tayari kusikia zaidi kama una hoja ya kuitetea kauli yako.
Hapo mkuu umenena ukweli na ninakuunga mkono asilimia mia miaHizi ni STEPS za KUNUNUA mwanamke na si kumpata mwanamke kwa maana ya wife material! Binafsi naamini kuwa Mwanamke mwenye staha zake hanunuliwi kwa pesa, na kama atanitangulizia habari za pesa mwanzoni nitaamini huyo yupo kwa manufaa yake binafsi.
Unamdanganya nani?
^^
Nizitoe wapi,,nina utajiri wa upendo masikini wa pesa
^^
Hizi ni STEPS za KUNUNUA mwanamke na si kumpata mwanamke kwa maana ya wife material! Binafsi naamini kuwa Mwanamke mwenye staha zake hanunuliwi kwa pesa, na kama atanitangulizia habari za pesa mwanzoni nitaamini huyo yupo kwa manufaa yake binafsi.