Mbinu mpya kabisa ya kutongoza mwanamke yoyote duniani

Ndio tunapenda pesa mapenzini lakn binafsi simkubali mwanaume kwa sababu tu ana pesa,kwa sababu TU ana pesa. Ni lazima mwanaume akidhi na vigezo vingine.
 
Ni kiwango gani cha mpunga specific ambacho inabidi u-own? Na pili kumpata mwanamke yeyote yule au kupata K inayoendana na desire za huyo mwanamke? Uwe shoga kisa tu una-mapene umpate mwanamke.....kamuulize Elton John na wale jamaa wa Westlife waliojiunga na CUF.....U can't change the nature as u can control it.....but u must undestand that inspite of a greater ever changes in worlds TRUE LOVE still exist ,and any one who lack it he/she must miss it whatever a huge numbers of ladies/men and moneye he/she posses since LOVE is psychophysiologial phenomenon
 
Wenyewe wanadai inapendwa pesa mapenzi kwenu. wanadai umpende mwanaume umemzaa wewe?
 
Ndio tunapenda pesa mapenzini lakn binafsi simkubali mwanaume kwa sababu tu ana pesa, kwa sababu tu ana pesa. Ni lazima mwanaume akidhi na vigezo vingine.


Unamdanganya nani?
 
Kweli JF ina watu kibao jamani wakati wengine tunaomboleza Mauaji ya Arusha wengine wanafikiria namna ya kutongoza
 
Ume m-qoute vizur sana mpoki jambo hujamtaja.nilimsikia week ya jana ktk ze comedy show.
 
Vijana sisi sometimes tunalishana SUMU sana, sijui kwa nini? Maisha hayafai kukariri. Usicrem maisha mzee. Ni noma aise.
 
sio kila mwenye jinsi(a) ya kike ni mwanamke, wengine wanaishia kua wasichana siku zote za maisha yao
it is very unfortunate hiyo mbinu itakusaidia kuishia kupata msichana (mwanamke wa kweli thamani yake haiwezi kufikiwa kwa mali yoyote)/sex na sio upendo/mapenzi ya kweli ninayoamin ni ya muhimu zaidi be it in digital world au wakati mwingine wowote!

Hii hapana mkuu, ili uitwe mwanamke lazima uwe na jinsia ya kike. Huwezi ukawa na jinsia ya kike halafu usiwe mwanamke (labda kwa wenye jinsia mbili- hii ni case tofauti). Kwa hiyo hapo uliposema kuwa sio kila mwenye jinsia ya kike ni mwanamke sikubaliani nawe. Hata ivyo nipo tayari kusikia zaidi kama una hoja ya kuitetea kauli yako.
 
Wajerumani wakasema "when poverty inter through the door love escape through the window...." nani anabisha kama yupo agoogle
 
Dunia ya sasa ukiwa MASKINI... wanawake utawaona kwa macho tu, with money u have honey... love... u hv any woman.
 
Back
Top Bottom