mbinu mpya kabisa ya kutongoza mwanamke yoyote duniani

H

hanley jr

Senior Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
122
Likes
6
Points
35
H

hanley jr

Senior Member
Joined Feb 26, 2013
122 6 35
Step no1:tafuta hela ,2.pata hela ,3.tumia hela 4.pata mwanamke ,SIMPLE N CLEAR hakuna haja ya kutafuta nywele sijui kucha za mwanamke uende kwa matapeli(waganga),sijui nakuota just follow the rules and the rules wil follow you,IAM OUT..!!
 
A

ayanda

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Messages
1,342
Likes
218
Points
160
A

ayanda

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2013
1,342 218 160
Step no1:tafuta hela ,2.pata hela ,3.tumia hela 4.pata mwanamke ,SIMPLE N CLEAR hakuna haja ya kutafuta nywele sijui kucha za mwanamke uende kwa matapeli(waganga),sijui nakuota just follow the rules and the rules wil follow you,IAM OUT..!!
ur right.

maisha haya mwenzangu mkwanja ndo mpango mzima lol

mie sipendi sana pesa, namaanisha kwamba siwezi poteza utu kwa ajili ya pesa. lakini PESA ndo mpango mzima kwenye mapenzi
 
H

hanley jr

Senior Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
122
Likes
6
Points
35
H

hanley jr

Senior Member
Joined Feb 26, 2013
122 6 35
ur right.

maisha haya mwenzangu mkwanja ndo mpango mzima lol

mie sipendi sana pesa, namaanisha kwamba siwezi poteza utu kwa ajili ya pesa. lakini PESA ndo mpango mzima kwenye mapenzi
absolute
 
R

RR

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2007
Messages
6,830
Likes
306
Points
180
R

RR

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2007
6,830 306 180
Step no1:tafuta hela ,2.pata hela ,3.tumia hela 4.pata mwanamke ,SIMPLE N CLEAR hakuna haja ya kutafuta nywele sijui kucha za mwanamke uende kwa matapeli(waganga),sijui nakuota just follow the rules and the rules wil follow you,IAM OUT..!!
Sahihi....but how new is this new charm buddy....
 
Blessed

Blessed

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Messages
2,760
Likes
686
Points
280
Age
32
Blessed

Blessed

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2011
2,760 686 280
Step no1:tafuta hela
,2.pata hela ,3.tumia hela 4.pata mwanamke ,SIMPLE N CLEAR hakuna haja
ya kutafuta nywele sijui kucha za mwanamke uende kwa
matapeli(waganga),sijui nakuota just follow the rules and the rules wil
follow you,IAM OUT..!!
sio kila mwenye jinsi(a) ya kike ni mwanamke ,wengine wanaishia kua wasichana siku zote za maisha yao
it is very unfortunate hiyo mbinu itakusaidia kuishia kupata msichana(mwanamke wa kweli thamani yake haiwezi kufikiwa kwa mali yoyote)/sex na sio upendo/mapenzi ya kweli ninayoamin ni ya muhimu zaidi be it in digital world au wakati mwingine wowote!
 
H

hanley jr

Senior Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
122
Likes
6
Points
35
H

hanley jr

Senior Member
Joined Feb 26, 2013
122 6 35
sio kila mwenye jinsi(a) ya kike ni mwanamke ,wengine wanaishia kua wasichana siku zote za maisha yao
it is very unfortunate hiyo mbinu itakusaidia kuishia kupata msichana(mwanamke wa kweli thamani yake haiwezi kufikiwa kwa mali yoyote)/sex na sio upendo/mapenzi ya kweli ninayoamin ni ya muhimu zaidi be it in digital world au wakati mwingine wowote!
brahbrahbrah as usual hazikosekani from watu wanaongalia tamthiliya za kifilipino
 
Queen Kan

Queen Kan

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
3,461
Likes
4,251
Points
280
Queen Kan

Queen Kan

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
3,461 4,251 280
step no1:tafuta hela ,2.pata hela ,3.tumia hela 4.pata mwanamke ,simple n clear hakuna haja ya kutafuta nywele sijui kucha za mwanamke uende kwa matapeli(waganga),sijui nakuota just follow the rules and the rules wil follow you,iam out..!!
unaakili wewee!!
 
bombom

bombom

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2013
Messages
614
Likes
5
Points
35
bombom

bombom

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2013
614 5 35
ur right.

maisha haya mwenzangu mkwanja ndo mpango mzima lol

mie sipendi sana pesa, namaanisha kwamba siwezi poteza utu kwa ajili ya pesa. lakini PESA ndo mpango mzima kwenye mapenzi
Kuwa Mwazi Ayanda. Unaposema hupendi pesa halafu pesa ndo mpango mzima unataka tukueleweje. Nadhani mwelekeo wako ni mapenzi na pesa, nipe nikupe..
 
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2008
Messages
3,614
Likes
47
Points
145
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2008
3,614 47 145
Step no1:tafuta hela ,2.pata hela ,3.tumia hela 4.pata mwanamke ,SIMPLE N CLEAR hakuna haja ya kutafuta nywele sijui kucha za mwanamke uende kwa matapeli(waganga),sijui nakuota just follow the rules and the rules wil follow you,IAM OUT..!!
Hizi ni STEPS za KUNUNUA mwanamke na si kumpata mwanamke kwa maana ya wife material! Binafsi naamini kuwa Mwanamke mwenye staha zake hanunuliwi kwa pesa, na kama atanitangulizia habari za pesa mwanzoni nitaamini huyo yupo kwa manufaa yake binafsi.
 
Forum statistics

Threads 1,272,942
Members 490,211
Posts 30,465,304