Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,446
Habari zenu wapendwa?
Nilikuwa najiuliza maswali haya wakati wa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa(JKT) na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
1.Vigezo gani wanaangalia?
2.Umri gani unatakiwa?
3.Je Kama mtu hasikii vizuri watamkubalia?
4.Je Kama mguu wake hauna uvungu watakubali?
5.Awe na elimu ipi?
Asanteni...