MBINU:Jinsi ya kujiunga na jeshi la JWTZ na JKT

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,425
Habari zenu wapendwa?
Nilikuwa najiuliza maswali haya wakati wa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa(JKT) na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

1.Vigezo gani wanaangalia?

2.Umri gani unatakiwa?

3.Je Kama mtu hasikii vizuri watamkubalia?

4.Je Kama mguu wake hauna uvungu watakubali?

5.Awe na elimu ipi?

Asanteni...
 
1.Awe raia wa Tanzania
2.Awe na Umri kati ya miaka 18-23
3.Awe amemaliza darasa la saba na kuendelea
4.Asiwe ameoa au kuolewa na asiwe na mtu yeyote anayemtegemea
5.Awe tayari kufuata sheria zote za kijeshi zitazokuwa juu yake wakati akiwa jeshini(kutoroka,wizi,ulevi,uvutaji bangi, madawa ya kulevya na upatikanaji wa mimba n.k) Jeshini ni makosa makubwa na utaweza kushtakiwa na kufutiwa mkataba na JKT
6.Awe tayari kurudi nyumbani baada ya kumaliza mkataba wake na Jeshi la Kujenga Taifa
7.Awe na tabia na mwenendo mzuri

k

Kwa JWTZ
  • Awe raia wa Tanzania
  • Awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea na awe amefaulu..
  • Awe hajaoa/hajaolewa
  • Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25
  • Awe na tabia na mwenendo mzuri
  • Awe na akili timamu na afya nzuri

Masharti ya Utumishi
  • Askari atapewa nambari ya utumishi baada ya kufaulu mafunzo ya awali.
  • Atalitumikia Jeshi kwa kipindi cha mwanzo cha miaka sita, baada ya hapo atafanya kazi kwa mkataba wa miaka miwili miwili kwa kibali cha Mkuu wa Majeshi.

Maafisa
  • Bodi ya Uteuzi wa Maafisa (Officers Selection Board)
    huwafanyia usaili askari wenye elimu ya kidato cha sita na kuendelea toka Vikosini na Shule za askari wapya (Recruitment Schools).
  • Watakaofaulu masailiano hayo hupewa hadhi ya Afisa Mwanafunzi (Officer Cadet), na hupelekwa Chuoni (Tanzania Military Academy) kwa mafunzo ya uafisa kwa muda wa mwaka mmoja.
 
Aulize lingine kama bado hajaelewa
 
MKuu hizi Ajira mkuu wa nchi alizoahidi kuzitoa zinahusu watu gani waliopitia JKT kujitolea au mujibu au wakujitolea tu
 
k

Kwa JWTZ
  • Awe raia wa Tanzania
  • Awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea na awe amefaulu..
  • Awe hajaoa/hajaolewa
  • Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25
  • Awe na tabia na mwenendo mzuri
  • Awe na akili timamu na afya nzuri

Masharti ya Utumishi
  • Askari atapewa nambari ya utumishi baada ya kufaulu mafunzo ya awali.
  • Atalitumikia Jeshi kwa kipindi cha mwanzo cha miaka sita, baada ya hapo atafanya kazi kwa mkataba wa miaka miwili miwili kwa kibali cha Mkuu wa Majeshi.

Maafisa
  • Bodi ya Uteuzi wa Maafisa (Officers Selection Board)
    huwafanyia usaili askari wenye elimu ya kidato cha sita na kuendelea toka Vikosini na Shule za askari wapya (Recruitment Schools).
  • Watakaofaulu masailiano hayo hupewa hadhi ya Afisa Mwanafunzi (Officer Cadet), na hupelekwa Chuoni (Tanzania Military Academy) kwa mafunzo ya uafisa kwa muda wa mwaka mmoja.
Samahani, natoka nje ya mada:
Hivi kwa majeshi mengine mfano magereza,polisi n.k nako pia wenye elimu ya kuanzia kidato cha sita wanachaguliwagwa kwenda u ofisa?
 
Kwa mafunzo ya awali haitajiki kuwa mtu unaye tegemewa. Lengo huwe huru kutumika muda wote utao hitajika.

Pia imani kali haitakiwi, usije kinzana na maelekezo na sheria za jeshi.

Note.
Hiii ni kazi ya kujitoa tu.
Kazi karibu zote nyeti zinazohusu usalama duniani hawapendi pia mtu aliye kwenye ndoa kwa kuwa wanaamini aliyeoa efficiency yake ni ndogo kuliko ambaye hajaoa
 
Uwe na uzito zaidi ya 55kg
2. Urefu 5'3"
3. Mtanzania
4.Shule form iv na kuendelea.
5. BP iwe safi 120/80.
6.usiwe na makovu ya ajabu ajabu.
7. No tattoo
8. Mseja. Na kama ni mwanamke usiwe umezaa.
9.usiwe shoga wala msagaji.
10. Meno usiwe na mapengo
Asante TANZANIA
 
1.Awe raia wa Tanzania
2.Awe na Umri kati ya miaka 18-23
3.Awe amemaliza darasa la saba na kuendelea
4.Asiwe ameoa au kuolewa na asiwe na mtu yeyote anayemtegemea
5.Awe tayari kufuata sheria zote za kijeshi zitazokuwa juu yake wakati akiwa jeshini(kutoroka,wizi,ulevi,uvutaji bangi, madawa ya kulevya na upatikanaji wa mimba n.k) Jeshini ni makosa makubwa na utaweza kushtakiwa na kufutiwa mkataba na JKT
6.Awe tayari kurudi nyumbani baada ya kumaliza mkataba wake na Jeshi la Kujenga Taifa
7.Awe na tabia na mwenendo mzuri
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom