Mbingu zote zitafunguka Russia

Mbingu zote zitafunguka Russia

Una akili ufinyu

Kwa hiyo Raisi wa Marekani akimpiga mkewe na wewe mwanaume wa kirusi kumtandika mkeo itakuwa sawa kwa kuwa Raisi wa Marekani anapiga mkewe na hakuna anatekemea hilo?
Una akili ndogo mno.kifupi sio ndogo ni hazimo kichwani kabisa .Umebeba kichwa kitupu
 
Ukraine ipi tena wakati soon inaenda kuwa jimbo la urusi

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Unaota siasa za expansionist za mrusi kupanua Ardhi yake zinepitwa na wakati

Hizo.vita zilikuwa enzi za machifu Miaka ya giza ya enzi za mawe .Putin anataka kuzifanya sasa kwenye ulimwengu wa sasa !! Mshamba sana

Vita za Putin za kutwaa Ardhi za watu na kuzifanya zake ni za enzi za akina machifu akina Mangi akina Machifu wa kingoni'kinyamwezi no

Wewe kushabikia unairudisha dunia nyuma na huyo Putin wako
 
Hivi mtu akitaka kukuchoma kisu unasubiri hadi akuchome au unamuwahi baada ya kuona kila dalili ya kutaka kukuchoma?

Sijasema ni jipya, nimeuliza kwanini anawasaidia Ukraine? Anawapenda sana? Anapenda sana haki za binadamu?
Huu mfano hauendani na mada

.....labda ungetafiti majirani wa Urusi walio wanachama wa NATO ni kina nani, halafu jiulize kwanini hawakuvamiwa wao anavamiwa Ukraine ambaye sio mwanachama.

Kwani Tz inavyopokea misaada ya Marekani huwa inapendwa Sana ?...au Tz kupokea misaada ni sawa ila Ukraine ni haramu ?
 
Siyo lazima ulivyoandika kuwa sahihi,hizo ni propaganda kutoka Russia + hisia zako zilizojaa ushabiki wa Russia.
Una mahaba na Warusi halafu wao hawanaga mpango na mijitu myeusi.Fikiria kwenu mbinga mtaishije.
 
Watu mfuatlia historia za nchi nyingine na kuzielezea kwa mifano, kuliko na taifa lako na pengine kuliko kujielezea wewe na historia ya ukoo wako[emoji107]
 
Sasa kama huyo Russia anajiona yeye ni superior anapiganaje na mtu aliyemzidi lila kitu mda wote huo yaan unapigana na Ukraine miezi 2?? Kwa USA ndo ataweza huyu kama Ukraine tu anapigana nae hadi leoo
Hujui unaloliongea?Kwani Urusi alisema atapigana na Ukraine Muda gani ?zaidi ya pro-American kujijambisha eti alisema ni muda mfupi.Hiyo ni Vita waulize NATO (Marekani na Wenzie) walitumia miezi Mingapi Iraq,Karibu miezi sita,Je Huko Syria Us na Wenzie wa NATO Mbona alichemsha mpaka leo Assad yupo Madarakani.
Kwa ufupi,urusi alienda Ukraine kwa Target ya kuchukua Donbas Region kitu kinachoendelea Sasa Ukraine anachakazwa balaa(Pamoja na kwamba hayuko Peke yake NATO wako underground) na hizo silaha anazosaidiwa na Ulaya na Marekani Mpaka critics wa US wanaanza kuhoji na kuwa na Mashaka kama zinafika Ukraine make hazionyeshi impact
 
Lkn na Marekani hana moral authority ya kumshambulia Mrusi;Mrusi at least ana fight vita professionally kwa mujibu wa International Law e.g. Wakati wa vita hii at least unasikia Mrusi anaruhusu Humanitarian corridors ku-flee civilians waweze ku-escape to safer place.Hebu nambie wakati NATO anapiga syria,Iraq au Libya uliwahi kusikia kitu hicho?NATO alikuwa anajiulia waarabu anavyotaka bila kujali ubinadamu.Sasa Mrusi unamletea Adui Sebuleni unatakiwa afanyeje?kaongea na US na NATO for 10 years wasi-expand eastward lkn wamem-ignore then vita was last resort kwani comedian zelensiky sasa ndio anaona reality ya vita kuwa siyo sinema za hollywood.Tujikumbushe mwaka 1962 wakati Mrusi alipoweka Missile zake CUBA mbona Marekani alikuja juu manowari zake za kivita zikaizunguka Cuba kwa sababu aliona usalama wake upo mashakani kwani Adui Mrusi kaja kuweka kambi sebuleni,Je Cuba haikuwa Nchi huru-A Sovereign State?Kwa nini iwe sawa kwa Ukraine kujiunga NATO na kuwakaribisha NATO lkn haikuwa sawa kwa CUBA kumkaribisha Mrusi? AMERICA NA WEST EUROPE wao na Media zao ni wanafiki watupu. ni kama ambavyo Tanzania hatuwezi kuruhusu adui yetu kuweka kambi Zanzibar,au unafikiri kwa nini tunabembeleza muungano wakati hatuna economiv benefits kihivyo?
MY TAKE;Nasimama na Putin piga hao vibaraka wa wakoloni ili dunia iwe na balance of power
Unatumia nguvu kubwa Sana mkuu, Inabid ujue kuna watu hawajui kama hii migogoro ni ya kihistoria, wanabisha ovyo tu.
 
Hakuna msingi wowote hapo. Kwani Ukraine ikiingia NATO urusi anadhurika nini!!!
Duh kwel kusoma kazi.Maandiko yoootr yaliopo hapa jukwaan bado unakuja na swal kama hil hpa mzee?? 😁
 
k.... ni kama ambavyo Tanzania hatuwezi kuruhusu adui yetu kuweka kambi Zanzibar,au unafikiri kwa nini tunabembeleza muungano wakati hatuna economiv benefits kihivyo
MY TAKE;Nasimama na Putin piga hao vibaraka wa wakoloni ili dunia iwe na balance of power
Mkuu muungano zanzibar hatubembelezi...ni lazima.watake...wasitake...yan pale ndio crimea yetu sie warus wa east africa!😂😂
 
Kwa sababu kadri Russia inavyomega na kuchukua nchi nyingine majirani zake ndivyo kitisho cha usalama duniani kinaongezeka na uwezekano wa vita kubwa zaidi unaongezeka hivyo lazima idhibitiwe mapema kabla hayajatokea yale Hitler ya kuitumbukiza dunia nzima kwenye vita vya dunia.
Hujajibu swali, sababu ya wao kuisaidia Ukraine ni ipi? Wanawapenda sana wa Ukraine? Au wanapenda sana haki za binadamu? Wanapenda sana sovereignity ya kila nchi? Sababu ni ipi?
 
Ni wazi Ukraine imeshindwa kujitawala anageuzwa geuzwa Kama malaya acha mrusi afanye Ukraine kuwa mkoa wake
 
Huu mfano hauendani na mada

.....labda ungetafiti majirani wa Urusi walio wanachama wa NATO ni kina nani, halafu jiulize kwanini hawakuvamiwa wao anavamiwa Ukraine ambaye sio mwanachama.

Kwani Tz inavyopokea misaada ya Marekani huwa inapendwa Sana ?...au Tz kupokea misaada ni sawa ila Ukraine ni haramu ?
Taarifa za kiintelijensia zilionyesha kwamba USA anampango wa kupeleka silaha za Nyuklia Ukraine endapo itajiunga, na Ukraine ipo karibu sana kimipaka (mpaka mrefu zaidi) na Russia, hivyo ni hatari kwa usalama wa Russia.

Tanzania tunapewa misaada ili baadae watu waje kuchota rasilimali, hilo liko wazi.

Mimi nauliza kwa case ya Ukraine, marekani anawapemda sana Ukraine? Au anapenda sana haki za binadamu? Sababu ni ipi ya kuwasaidia kwenye hii vita?
 
Back
Top Bottom