Mbingu zote zitafunguka Russia

Mbingu zote zitafunguka Russia

Sasa salaha zinatengenezwa na kusafirisha bure tumia akili kabla haujauliza swali
Unavyo fikili misaada wanayo pata ukraine inatoka mbinguni ni pesa za wanachama wa Nato wametoa kwa walipa kodi ya nchi zao
Kwani hiyo misaada ya silaha huwa inalipiwa ?
 
Kweli elimu ni ngumu na tch wako alipata tabu sana, ilipotoka hiyo misaada we unafikili hajatumia gharama zozote?
Kwani kitu kinachotolewa kama msaada kinagharamiwa na nani kati ya mtoaji na mpokeaji ?
 
Kwani kitu kinachotolewa kama msaada kinagharamiwa na nani kati ya mtoaji na mpokeaji ?
Mfano umeenda kutoa mchango wako wa mahitaji muhimu kwa watu wasio jiweza gharama za kufikisha hapo nizamtoaji misaada au za mpokea misaada
 
Mfano umeenda kutoa mchango wako wa mahitaji muhimu kwa watu wasio jiweza gharama za kufikisha hapo nizamtoaji misaada au za mpokea misaada
Kuuliza swali ni njia ya kujibu swali ?
 
Hakuna aliyesema ni sawa,watu wengi tu walilaani vitendo vya kibabe vya wamarekani,siyo halali kwa nchi moja kwenda kuivamia nchi nyingine inayojitawala na kuipangia maamuzi ya kufanya haijalishi ni Marekani au Russia.
Tuonyeshe Ni wapi uliwahi kukemea uvamizi wa US/NATO.
 
Kuna mambo yafuatayo:
1.) Putin anajuta kwa nini alivamia Ukraine. Nchi za Magharibi zilitumia mbinu ya kum -provoke, akaingia kichwakichwa.
2.) Hataki kuacha vita kwa sababu ya aibu(ni wazi kama Mrusi angetaka ushindi isingemchukua zaidi ya mwezi mmoja)
Nchi za Magharibi ni wajanja. Sasa wanapigana na Putin kisaikolojia. Wana- mchanganya akili,( Mara wanatuma vifaa vya kijeshi, Mara wanatuma wataalam, nk) kujifanya bado wapi!
2.) Kuuawa raia(watoto, wanawake, nk) na uharibifu wa miundombinu isiyo na hatia kunamchanganya zaidi.

Ndiyo maana hiyo vita inaenda taratibu-taratibu sana, otherwise vingekuwa vimekwisha!
Kupata kituko hiki andika neno KIJAMBO kwenda no. 14357
 
Lkn na Marekani hana moral authority ya kumshambulia Mrusi;Mrusi at least ana fight vita professionally kwa mujibu wa International Law e.g. Wakati wa vita hii at least unasikia Mrusi anaruhusu Humanitarian corridors ku-flee civilians waweze ku-escape to safer place.Hebu nambie wakati NATO anapiga syria,Iraq au Libya uliwahi kusikia kitu hicho?NATO alikuwa anajiulia waarabu anavyotaka bila kujali ubinadamu.Sasa Mrusi unamletea Adui Sebuleni unatakiwa afanyeje?kaongea na US na NATO for 10 years wasi-expand eastward lkn wamem-ignore then vita was last resort kwani comedian zelensiky sasa ndio anaona reality ya vita kuwa siyo sinema za hollywood.Tujikumbushe mwaka 1962 wakati Mrusi alipoweka Missile zake CUBA mbona Marekani alikuja juu manowari zake za kivita zikaizunguka Cuba kwa sababu aliona usalama wake upo mashakani kwani Adui Mrusi kaja kuweka kambi sebuleni,Je Cuba haikuwa Nchi huru-A Sovereign State?Kwa nini iwe sawa kwa Ukraine kujiunga NATO na kuwakaribisha NATO lkn haikuwa sawa kwa CUBA kumkaribisha Mrusi? AMERICA NA WEST EUROPE wao na Media zao ni wanafiki watupu. ni kama ambavyo Tanzania hatuwezi kuruhusu adui yetu kuweka kambi Zanzibar,au unafikiri kwa nini tunabembeleza muungano wakati hatuna economiv benefits kihivyo?
MY TAKE;Nasimama na Putin piga hao vibaraka wa wakoloni ili dunia iwe na balance of power
Sasa kama huyo Russia anajiona yeye ni superior anapiganaje na mtu aliyemzidi lila kitu mda wote huo yaan unapigana na Ukraine miezi 2?? Kwa USA ndo ataweza huyu kama Ukraine tu anapigana nae hadi leoo
 
Kwani huyo Ukraine ameshajiunga NATO mpaka anavamiwa ?..

Marekani kuisaidia Ukraine sio jipya kwenye 'proxy wars' kati ya hayo mataifa, hata huko Syria, Urusi ilimsaidia Assad na Marekani ikawasaidia wapinzani wa Assad.

Hata Ussr ilipoivamia Afghanistan mwaka 1979, Marekani aliwasaidia Mujahedeen waliokuwa wanapambana na askari wavamizi.
Hivi mtu akitaka kukuchoma kisu unasubiri hadi akuchome au unamuwahi baada ya kuona kila dalili ya kutaka kukuchoma?

Sijasema ni jipya, nimeuliza kwanini anawasaidia Ukraine? Anawapenda sana? Anapenda sana haki za binadamu?
 
Back
Top Bottom