Mbingu zote zitafunguka Russia

Mbingu zote zitafunguka Russia

Taarifa za kiintelijensia zilionyesha kwamba USA anampango wa kupeleka silaha za Nyuklia Ukraine endapo itajiunga, na Ukraine ipo karibu sana kimipaka (mpaka mrefu zaidi) na Russia, hivyo ni hatari kwa usalama wa Russia.
Unaweza kuweka chanzo cha hiki ulichoandika ?

Mimi nauliza kwa case ya Ukraine, marekani anawapemda sana Ukraine? Au anapenda sana haki za binadamu? Sababu ni ipi ya kuwasaidia kwenye hii vita?
Majibu wanayo wanaotoa misaada.
 
Unaweza kuweka chanzo cha hiki ulichoandika ?

Majibu wanayo wanaotoa misaada.
Chanzo angalia ramani ya Ukraine - Russia. Majibu ni simple, USA na Russia wanapigania World Dominance, USA amekuwa world super power for so long, Russia nae ana Aspirations hizo hizo za kuwa kiranja wa Dunia. Kitendo cha USA kupeleka silaha za Nuclear Ukraine endapo wangejiunga na Nato kunge-undermine uwezo wao katika medani za dunia. Sio Kwamba US anawapemda sana Ukraine. Tuone mambo as they are.
 
Duh kwel kusoma kazi.Maandiko yoootr yaliopo hapa jukwaan bado unakuja na swal kama hil hpa mzee?? 😁
Tatizo nyie mna siasa sana!!!! Narudia Urusi hana msingi wa kuvamia Ukraine. Soviet Union ilishavunjika na hizo ambitions za kuirudisha hazitafanikiwa. Putin is just a butcher!!!
 
Hii vita Bado mbichi sana, watu wengi akiwemo Putin hawakutegemea kama Ukraine itamsumbua kiasi hicho, alitoa siku 3 za ushindi matokeo yake kila mtu anayaona,
Huwezi kujitangazia ushindi ,wakati mpinzani wako hajasalimu amri ,piga nikupige itaendelea tu, suluhu ni kukaa mezani na kuyamaliza
 
Hebu onyesha Ni wapi Putin alisema watachuikua Ukraine ndani ya siku 3 tu? Ukishindwa kuweka source ya hii habari yako hapa then "toka hapo nje ya nyumba kisha angalia juu na ujipige pige kifua huku ukisema kwa sauti hakika Mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele."
 
Marekani alivyokuwa anaangamiza Iraq, Libya na Afghanistan ilikuwa ni sawa, ila hii sio sawa?
Marekani ameondoa askari Afghanistani lakini umeona kinachoendelea watu bado wanabutuana kwa mabomu ya kujitoa muhanga hadi leo masokoni na misikitini kama hawana akili vizuri
 
Marekani ameondoa askari Afghanistani lakini umeona kinachoendelea watu bado wanabutuana kwa mabomu ya kujitoa muhanga hadi leo masokoni na misikitini kama hawana akili vizuri
Kabla ya wao kuingia Afghanistan hayo mabomu yalikuwa wapi? Vipi Libya, vipi Iraq, vipi Vietnam?
 
Haitafanikiwa hata kidogo na Putin ataondoka tu

Raisi wa Ukraine katamka wazi hawaachii hata sentimita moja ya Ukraine mikononi mwa Urusi

Hiyo vita wenyewe wamejiandaa kupigana muda mrefu minimum Miaka 10 maximum haijulikani

Yaani Urusi ajiamdae kupigana na Ukraine kwa kipindi kirefu mno
Hii ni ndoto ya kila mpenzi na mshabiki wa mapenzi ya jinsia moja duniani

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Mrusi anatumia ikubwa wake kuionea Ukraine. Ukraine is a free country to do whatever it wants siyo kuambiwa wafanye nini na Urusi. Anyway Putin will pay one day for killing innocent lives!!!!
Kama Marekani anavyotumia nguvu zake kuonea wanyonge. Sidhani kama duniani kuna nchi inachukiwa na nchi nyingi kama Marekani. Anatumia nguvu zake kutengeneza maadui.
Ipo siku Marekani atalipa kwa mauaji,wizi wa mali na uharibifu mkubwa wa miundo mbinu kwenye nchi nyonge

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Hebu onyesha Ni wapi Putin alisema watachuikua Ukraine ndani ya siku 3 tu? Ukishindwa kuweka source ya hii habari yako hapa then "toka hapo nje ya nyumba kisha angalia juu na ujipige pige kifua huku ukisema kwa sauti hakika Mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele."
We utakuwa zezeta si kwa povu hilo, kwani unalipwa shi ngapi bwa shee?
 
Back
Top Bottom