Mbingu zote zitafunguka Russia

Mbingu zote zitafunguka Russia

Kwani America na Nato wame pay kwa mauaji ya libya, iraq na syria hisia zetu zisituongoze zaidi angalia hoja ya msingi ya russia ya kuivamia ukraine
Hizi claims unazotoa ni za mtu mwendawazimu. Huwezi kusema mimi naua kwa sababu nilimuona Juma anaua. You must be crazy bitch
 
Mrusi anatumia ikubwa wake kuionea Ukraine. Ukraine is a free country to do whatever it wants siyo kuambiwa wafanye nini na Urusi. Anyway Putin will pay one day for killing innocent lives!!!!
Putin hana mrefu atalipa ka panic hasa kasema ohh hii vita ya dunia !!

Vita ya dunia ataiweza peke yake bila international coalition? Kapanic anajitia.ohh mimi nina kombora la kupiga nchi yeyote bara lolote nyie Ulaya na Marekani acheni kutumia silaha Ukraine nitawabonda nalo. Mmarekani kamjibu kamwambia acha kutishia nyau wewe tunapeleka silaha ukraine
 
Kuna mambo yafuatayo:
1.) Putin anajuta kwa nini alivamia Ukraine. Nchi za Magharibi zilitumia mbinu ya kum -provoke, akaingia kichwakichwa.
2.) Hataki kuacha vita kwa sababu ya aibu(ni wazi kama Mrusi angetaka ushindi isingemchukua zaidi ya mwezi mmoja)
Nchi za Magharibi ni wajanja. Sasa wanapigana na Putin kisaikolojia. Wana- mchanganya akili,( Mara wanatuma vifaa vya kijeshi, Mara wanatuma wataalam, nk) kujifanya bado wapi!
2.) Kuuawa raia(watoto, wanawake, nk) na uharibifu wa miundombinu isiyo na hatia kunamchanganya zaidi.

Ndiyo maana hiyo vita inaenda taratibu-taratibu sana, otherwise vingekuwa vimekwisha!
 
Kama marekani na Nato kwa jumla hawakuwajibishwa kwa matendo maovu waliyofanya pia russia hata azibiwa popote
Unafahamu kiwango cha fedha za Urusi na oligarchs wake ambazo tayari zimepigwa pini na zinashikiliwa na Marekani na washirika wake?
Washasema hizo ndo zitatumika kufidia Ukraine.
 
Sjakuelewa unashangilia Taifa huru kuvamiwa na Taifa jingine kisha watu wake kuuwa, kufanywa wakimbizi, kuharibiwa majumba na miundombinuyao! Ndicho unashangilia? kama ndio hicho basi kuna ujuha mkubwa sana hapo!
Halafu utakuta anajiita ' mwana demokrasia' na analaani madikteta wa huku Africa .
 
Ni kweli watu wa Ukraine wanateseka sana ila rusia yupo kiupande wake, jilani anataka amletee majambazi jilani ya nyumba yake lazima ajitete wewe unafikili Nato waweke millitary base ukraine unazani rusia atabaki salama
Kwanini asipambane na hao NATO Sasa kama ni kitisho kwake ?


Afu mgogolo rusia na marekani haujaanza leo kunakipindi rusia alisogeza nyukilia cuba palikuwa hapatoshi watu wa cuba walionja joto ya jiwe sometime balance ya power lazima iwepo
Huo mgogoro ulitatuliwa kwa US kuvamia Cuba ?
 
Ni mchana wa jua la wastani kwa bongo, Bendera ya Urusi inapepea katika mji wa Kakhovka, ulioko kwenye mkoa wa Kherson nchini Ukraine. Mji huu umeshatekwa na majeshi ya Urusi na hauko kwenye majimbo ya liyojitenga.

Kama sehemu ya mapigo muhimu kwa Ukraine, Mkoa wa Kherson leo unapiga kura ya kujiunga na upande wa jimbo la Donetsk. Kura hiyo inaratibiwa kutokea Kremlin Urusi. Sasa nchi mpya ya Janhuri ya Watu wa Donetsk inazidi kupanuka baada ya juzi miji ya Rozovka, Zaporozhye kupiga kura ya kujiunga na Jamhuri ya Donetsk.

Pigo kubwa zaidi kwa Marekani nikwamba Ujerumani imesitisha misaada yote ya kijeshi kwa Ukraine hii inatokana na kashfa ya Steinmeier. "According to Bild, Germany will reduce the supply of arms to Ukraine and cancel the supply of heavy weapons. Allegedly because of the scandal with Steinmeier, who was not invited to Ukraine".

Pigo la pili kubwa zaidi kwa Marekani, Leo China imezindua combora la masafa ya mbali na mafupi linalofanana na lililozinduliwa na Urusi jana, Kombora hili linaitwa YJ-22 ambalo nalo ni la kipekee ulimwenguni. Washington inaona kwamba haya mapigo ni mipango ya Beijing na Moscow na kwamba huu ni ushindi kwao

Huku Marekani ikipata pigo la kimbinu ikitazama Ukraine imebanwa pabaya zaidi baada ya msjeshi ya Ukraine na mamluki zaidi ya 1000 kunasa katika kiwanda cha Azovstal Steel ambapo Rais Putin alitaka wajisalimishe wakagoma na sasa ameagiza kiwanda kifungwe na asitoke hata nzi tu.

Hatua nyingine mbaya zaidi kwa marekani ni kwamba Jimbo la Donetsk sasa limekombolewa Putini anaendelea kulitanua ukubwa wake kutokea baharini kusini kabisa mwa Ukraine, na jimbo la Luhansk mchakamchaka umeanza leo asubuhi huku ikitarajiwa upinzani kiasi tofauti na ilivyokuwa kule kusini.

Kuonyesha sasa Urusi imeshika mpini, Leo UN kupitia katibu mkuu wake imeomba kukutana na Rais Putin kama jitihadi za kumaliza vita, Ifahamike tangu mgogoro uanze UN haijawahi kufikiria kuitisha kikao, zaidizaidi ilishadadia vikwazo na kusaidia silaha kwa Ukraine, Hatua hii imekuja baada ya Urusi kuanza kusherekea ushindi ndani ya siku 56 tangu oparesheni ianze. Moscow bado hajajibu ombi hilo, imeelekeza nguvu zake katika Oparesheni kwanza.

YN
Hawa jamaa siwapendi. Waliamua kuleta hela za marehemu Dr. Shika kwa bajaji. Sijui imekwamia wapi. Bado hazijafika
 
Kinachoendelea ni NATO/EU na Washirika kupambana na Urusi katika ardhi ya Ukraine. Akinamama, Watoto na Wazee waliokutwa katikati ya uwanja wa vita, pamoja na madhara wanayokumbana nayo, wanatumiwa kama ushahidi wa mabaya ya Urusi duniani (Russophobia).

Ni aibu kwa dunia ya sasa tunayotarajia ina Mashirika ya kimataifa yasiyoegemea upande wowote, watu wenye hekima na busara na wataalamu wa usuluhishi wa migogoro. Yenye maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano, kwamba inafikia mataifa makubwa mawili yanaingia vitani.

Pamoja na hayo, imebainika kuwa idadi kubwa ya Walimwengu, tunawategemea kwa kiwango kikubwa Urusi na Ukraine kwa chakula (ngano & shayiri), nishati, malighafi (iron & steel) n.k.

Ukraine na Urusi ni ndugu wawili wagombanao. Haya majamaa yangeshikamana, yangetusumbua sana duniani. Wahenga walisema, Matatizo ya Kiasili, Yanajitatua Kiasilia.

Mengine tumuachie M/MUNGU
 
Hii inasaidia vp ktk maendeleo yetu ya uchumi wa kati? Mbona hujawahi fikiria ndugu zako wa huko vijinini wanao kufa kwa magonjwa?
 
Back
Top Bottom