Mbingu zote zitafunguka Russia

Mbingu zote zitafunguka Russia

Wapelekeni wanajeshi wa kibongo Yukreini waksaidie hawana kazi huku zaidi ya kutundika makoti yao kwenye Vi IsT wanaendesha magari bila leseni na wakiulizwa ni ugomvi,tena hawa wenye vinyota viwili na vitatu wanapenda sana sifa Namshauri Amiri jeshi mkuu peleka ma Jobless hawa wakajifunze kazi huko Ukrain.Over & Out.
 
Haitafanikiwa hata kidogo na Putin ataondoka tu

Raisi wa Ukraine katamka wazi kawaachie hata sentimita moja ya Ukraine mikononi mwa Urusi

Hiyo vita wenyewe wamejiandaa kupigana muda mrefu minimum Miaka 10 maximum haijulikani

Yaani Urusi ajiamdae kupigana na Ukraine kwa kipindi kirefu mno
Sasa mbina Ukraine inachakaa?
 
Toka siku ya kwanza, niliwambia watu yule rais comedian hana mbinyu wala mbinu...!!
Hana hata ajualo kwenye uwanja wa vita, unamfananisha na Putin kachero mbobezi..!! Anajua nini anafanya na kwa wakati gan
 
Sjakuelewa unashangilia Taifa huru kuvamiwa na Taifa jingine kisha watu wake kuuwa, kufanywa wakimbizi, kuharibiwa majumba na miundombinuyao! Ndicho unashangilia? kama ndio hicho basi kuna ujuha mkubwa sana hapo!
Afanyayo Marekani kwa mataifa mengine ni halali?
 
Kwa hiyo Marekani akifanya hayo ndio kunampa Urusi uhalali wa kuiharibu Ukraine ?.....
Urusi ana haki ya kujilinda dhidi ya hatari ya silaha za nyuklia toka Marekani endapo Ukraine itajiunga na NATO, ila Ukraine akashikilia msimamo wake, Urusi hakuwa na jinsi. Sasa nikuulize, kwanini Marekani anaisaidia Ukraine? Anawapenda sana Raia wa Ukraine? Anapenda sana Sovereignity ya Ukraine? Anapenda sana haki za binadamu? Au sababu ni ipi?!
 
Urusi ana haki ya kujilinda dhidi ya hatari ya silaha za nyuklia dhidi ya Marekani endapo Ukraine itajiunga na NATO, ila Ukraine akashikilia msimamo wake hakuwa na jinsi. Sasa nikuulize, kwanini Marekani anaisaidia Ukraine? Anawapenda sana Raia wa Ukraine? Anapenda sana Sovereignity ya Ukraine? Anapenda sana haki za binadamu? Au sababu ni ipi?!
Kwani huyo Ukraine ameshajiunga NATO mpaka anavamiwa ?..

Marekani kuisaidia Ukraine sio jipya kwenye 'proxy wars' kati ya hayo mataifa, hata huko Syria, Urusi ilimsaidia Assad na Marekani ikawasaidia wapinzani wa Assad.

Hata Ussr ilipoivamia Afghanistan mwaka 1979, Marekani aliwasaidia Mujahedeen waliokuwa wanapambana na askari wavamizi.
 
Unaweza kuwaachia mkoa wa Kilimanjaro Kenya?
yaani Kenya aje kudai Kilimanjaro ni yake utakubali?
Haiwezekani ila ni sababu ndogo sana ila moja ya sababu ya msingi russia kuipiga ukraine, mcheza comedy anapo jaribu kutaka ukraine kujiunga Nato
Huwezi karibisha majambazi sebuleni kwangu, nikuache
 
Unafahamu kiwango cha fedha za Urusi na oligarchs wake ambazo tayari zimepigwa pini na zinashikiliwa na Marekani na washirika wake?
Washasema hizo ndo zitatumika kufidia Ukraine.
Ujue kila kitu kina price yake, unafikiri russia hakujua hayo yatatokea
 
Kwanini asipambane na hao NATO Sasa kama ni kitisho kwake ?

Huo mgogoro ulitatuliwa kwa US kuvamia Cuba ?
Kwenye ardhi ipi? anapamba indirect kwenye ardhi ya ukraine we unafikili bila Nato ukraine ingechukua round kupigwa, misaada kutoka Nato ndo inaongeza mgogoro
 
Kwenye ardhi ipi? anapamba indirect kwenye ardhi ya ukraine we unafikili bila Nato ukraine ingechukua round kupigwa, misaada kutoka Nato ndo inaongeza mgogoro
Wanaokufa vitani ni askari wa Ukraine (Sio NATO) halafu unasema NATO ndio anapambana indirect..

Hata Urusi ni vyema angepambana na NATO indirect.
 
Wanaokufa vitani ni askari wa Ukraine (Sio NATO) halafu unasema NATO ndio anapambana indirect..

Hata Urusi ni vyema angepambana na NATO indirect.
Silaha wanazo tumia ukraine zinatoka Nato
So wakishindwa ukraine hasara wamepata Nato hiyo ni indirect yenyewe wanajeshi wa ukrane wapo katikati ya Nato na russia
 
Wanaokufa vitani ni askari wa Ukraine (Sio NATO) halafu unasema NATO ndio anapambana indirect..

Hata Urusi ni vyema angepambana na NATO indirect.
Ukrane inatumika kama ardhi ya kupigania vita tu
 
Silaha wanazo tumia ukraine zinatoka Nato
So wakishindwa ukraine hasara wamepata Nato hiyo ni indirect yenyewe wanajeshi wa ukrane wapo katikati ya Nato na russia
NATO watapata hasara ya nini Ukraine wakishindwa ?..
 
NATO watapata hasara ya nini Ukraine wakishindwa ?..
Sasa salaha zinatengenezwa na kusafirisha bure tumia akili kabla haujauliza swali
Unavyo fikili misaada wanayo pata ukraine inatoka mbinguni ni pesa za wanachama wa Nato wametoa kwa walipa kodi ya nchi zao
 
Back
Top Bottom