Mbingu zote zitafunguka Russia

Mbingu zote zitafunguka Russia

Ni mchana wa jua la wastani kwa bongo, Bendera ya Urusi inapepea katika mji wa Kakhovka, ulioko kwenye mkoa wa Kherson nchini Ukraine. Mji huu umeshatekwa na majeshi ya Urusi na hauko kwenye majimbo ya liyojitenga.

Kama sehemu ya mapigo muhimu kwa Ukraine, Mkoa wa Kherson leo unapiga kura ya kujiunga na upande wa jimbo la Donetsk. Kura hiyo inaratibiwa kutokea Kremlin Urusi. Sasa nchi mpya ya Janhuri ya Watu wa Donetsk inazidi kupanuka baada ya juzi miji ya Rozovka, Zaporozhye kupiga kura ya kujiunga na Jamhuri ya Donetsk.

Pigo kubwa zaidi kwa Marekani nikwamba Ujerumani imesitisha misaada yote ya kijeshi kwa Ukraine hii inatokana na kashfa ya Steinmeier. "According to Bild, Germany will reduce the supply of arms to Ukraine and cancel the supply of heavy weapons. Allegedly because of the scandal with Steinmeier, who was not invited to Ukraine".

Pigo la pili kubwa zaidi kwa Marekani, Leo China imezindua combora la masafa ya mbali na mafupi linalofanana na lililozinduliwa na Urusi jana, Kombora hili linaitwa YJ-22 ambalo nalo ni la kipekee ulimwenguni. Washington inaona kwamba haya mapigo ni mipango ya Beijing na Moscow na kwamba huu ni ushindi kwao

Huku Marekani ikipata pigo la kimbinu ikitazama Ukraine imebanwa pabaya zaidi baada ya msjeshi ya Ukraine na mamluki zaidi ya 1000 kunasa katika kiwanda cha Azovstal Steel ambapo Rais Putin alitaka wajisalimishe wakagoma na sasa ameagiza kiwanda kifungwe na asitoke hata nzi tu.

Hatua nyingine mbaya zaidi kwa marekani ni kwamba Jimbo la Donetsk sasa limekombolewa Putini anaendelea kulitanua ukubwa wake kutokea baharini kusini kabisa mwa Ukraine, na jimbo la Luhansk mchakamchaka umeanza leo asubuhi huku ikitarajiwa upinzani kiasi tofauti na ilivyokuwa kule kusini.

Kuonyesha sasa Urusi imeshika mpini, Leo UN kupitia katibu mkuu wake imeomba kukutana na Rais Putin kama jitihadi za kumaliza vita, Ifahamike tangu mgogoro uanze UN haijawahi kufikiria kuitisha kikao, zaidizaidi ilishadadia vikwazo na kusaidia silaha kwa Ukraine, Hatua hii imekuja baada ya Urusi kuanza kusherekea ushindi ndani ya siku 56 tangu oparesheni ianze. Moscow bado hajajibu ombi hilo, imeelekeza nguvu zake katika Oparesheni kwanza.

YN
Siyo lazima ulivyoandika kuwa sahihi,hizo ni propaganda kutoka Russia + hisia zako zilizojaa ushabiki wa Russia.
 
Marekani alivyokuwa anaangamiza Iraq, Libya na Afghanistan ilikuwa ni sawa, ila hii sio sawa?
Hakuna aliyesema ni sawa,watu wengi tu walilaani vitendo vya kibabe vya wamarekani,siyo halali kwa nchi moja kwenda kuivamia nchi nyingine inayojitawala na kuipangia maamuzi ya kufanya haijalishi ni Marekani au Russia.
 
Sjakuelewa unashangilia Taifa huru kuvamiwa na Taifa jingine kisha watu wake kuuwa, kufanywa wakimbizi, kuharibiwa majumba na miundombinuyao! Ndicho unashangilia? kama ndio hicho basi kuna ujuha mkubwa sana hapo!
Ni kweli watu wa Ukraine wanateseka sana ila rusia yupo kiupande wake, jilani anataka amletee majambazi jilani ya nyumba yake lazima ajitete wewe unafikili Nato waweke millitary base ukraine unazani rusia atabaki salama

Afu mgogolo rusia na marekani haujaanza leo kunakipindi rusia alisogeza nyukilia cuba palikuwa hapatoshi watu wa cuba walionja joto ya jiwe sometime balance ya power lazima iwepo
Maisha ya walibya na watu iraq unazani wanapenda kuishi jinsi walivyo ila watu wa magharibi wameharibu uchumi wao na weua watu wao

Huruma tukiweka pembeni tukienda kwenye hoja rusia yupo sawa kwa kitu anacho kifanya
 
Ni mchana wa jua la wastani kwa bongo, Bendera ya Urusi inapepea katika mji wa Kakhovka, ulioko kwenye mkoa wa Kherson nchini Ukraine. Mji huu umeshatekwa na majeshi ya Urusi na hauko kwenye majimbo ya liyojitenga.

Kama sehemu ya mapigo muhimu kwa Ukraine, Mkoa wa Kherson leo unapiga kura ya kujiunga na upande wa jimbo la Donetsk. Kura hiyo inaratibiwa kutokea Kremlin Urusi. Sasa nchi mpya ya Janhuri ya Watu wa Donetsk inazidi kupanuka baada ya juzi miji ya Rozovka, Zaporozhye kupiga kura ya kujiunga na Jamhuri ya Donetsk.

Pigo kubwa zaidi kwa Marekani nikwamba Ujerumani imesitisha misaada yote ya kijeshi kwa Ukraine hii inatokana na kashfa ya Steinmeier. "According to Bild, Germany will reduce the supply of arms to Ukraine and cancel the supply of heavy weapons. Allegedly because of the scandal with Steinmeier, who was not invited to Ukraine".

Pigo la pili kubwa zaidi kwa Marekani, Leo China imezindua combora la masafa ya mbali na mafupi linalofanana na lililozinduliwa na Urusi jana, Kombora hili linaitwa YJ-22 ambalo nalo ni la kipekee ulimwenguni. Washington inaona kwamba haya mapigo ni mipango ya Beijing na Moscow na kwamba huu ni ushindi kwao

Huku Marekani ikipata pigo la kimbinu ikitazama Ukraine imebanwa pabaya zaidi baada ya msjeshi ya Ukraine na mamluki zaidi ya 1000 kunasa katika kiwanda cha Azovstal Steel ambapo Rais Putin alitaka wajisalimishe wakagoma na sasa ameagiza kiwanda kifungwe na asitoke hata nzi tu.

Hatua nyingine mbaya zaidi kwa marekani ni kwamba Jimbo la Donetsk sasa limekombolewa Putini anaendelea kulitanua ukubwa wake kutokea baharini kusini kabisa mwa Ukraine, na jimbo la Luhansk mchakamchaka umeanza leo asubuhi huku ikitarajiwa upinzani kiasi tofauti na ilivyokuwa kule kusini.

Kuonyesha sasa Urusi imeshika mpini, Leo UN kupitia katibu mkuu wake imeomba kukutana na Rais Putin kama jitihadi za kumaliza vita, Ifahamike tangu mgogoro uanze UN haijawahi kufikiria kuitisha kikao, zaidizaidi ilishadadia vikwazo na kusaidia silaha kwa Ukraine, Hatua hii imekuja baada ya Urusi kuanza kusherekea ushindi ndani ya siku 56 tangu oparesheni ianze. Moscow bado hajajibu ombi hilo, imeelekeza nguvu zake katika Oparesheni kwanza.

YN
Mrusi anatumia ikubwa wake kuionea Ukraine. Ukraine is a free country to do whatever it wants siyo kuambiwa wafanye nini na Urusi. Anyway Putin will pay one day for killing innocent lives!!!!
 
Kwani America na Nato wame pay kwa mauaji ya libya, iraq na syria hisia zetu zisituongoze zaidi angalia hoja ya msingi ya russia ya kuivamia ukraine
 
Marekani alivyokuwa anaangamiza Iraq, Libya na Afghanistan ilikuwa ni sawa, ila hii sio sawa?

Hii ni kama Marekani aamue kuiangamiza Canada kumkomoa Mrusi.

Amin nakwambia kuna watu huko Urusi leo hii wanaomboleza misiba inayotokea Ukraine.
 
Kwani America na Nato wame pay kwa mauaji ya libya, iraq na syria hisia zetu zisituongoze zaidi angalia hoja ya msingi ya russia ya kuivamia ukraine
Kama hizo nchi zimefanya makosa haihalalishi urusi nayo kufanya makosa. Marekani naye tulimlamu alivyovamia iraq, na libya pamoja na miaka ya sitini huko vietnam, cambodia nk. Hii haihalalishi urusi kuua. Ukikmatwa ukiwa unaiba huwezi kujitetea kuwa mbona fulani naye kaiba!!!
 
Hakuna msingi wowote hapo. Kwani Ukraine ikiingia NATO urusi anadhurika nini!!!
 
Kama hizo nchi zimefanya makosa haihalalishi urusi nayo kufanya makosa. Marekani naye tulimlamu alivyovamia iraq, na libya pamoja na miaka ya sitini huko vietnam, cambodia nk. Hii haihalalishi urusi kuua. Ukikmatwa ukiwa unaiba huwezi kujitetea kuwa mbona fulani naye kaiba!!!
Sasa unazani russia ata pay kwa nani? hizo nchi kubwa zinajuana kwa vilemba, hapo ni fekeche tu nyasi ndo zinazo umia
Kama marekani na Nato kwa jumla hawakuwajibishwa kwa matendo maovu waliyofanya pia russia hata azibiwa popote cha msingi ila watu wa ukraine wa kae kwa amani raisi wao akubali miongozo ya russia tu
 
Mrusi anatumia ikubwa wake kuionea Ukraine. Ukraine is a free country to do whatever it wants siyo kuambiwa wafanye nini na Urusi. Anyway Putin will pay one day for killing innocent lives!!!!
Nchi huru kutoka koloni gani?
 
Kama hizo nchi zimefanya makosa haihalalishi urusi nayo kufanya makosa. Marekani naye tulimlamu alivyovamia iraq, na libya pamoja na miaka ya sitini huko vietnam, cambodia nk. Hii haihalalishi urusi kuua. Ukikmatwa ukiwa unaiba huwezi kujitetea kuwa mbona fulani naye kaiba!!!
Lkn na Marekani hana moral authority ya kumshambulia Mrusi;Mrusi at least ana fight vita professionally kwa mujibu wa International Law e.g. Wakati wa vita hii at least unasikia Mrusi anaruhusu Humanitarian corridors ku-flee civilians waweze ku-escape to safer place.Hebu nambie wakati NATO anapiga syria,Iraq au Libya uliwahi kusikia kitu hicho?NATO alikuwa anajiulia waarabu anavyotaka bila kujali ubinadamu.Sasa Mrusi unamletea Adui Sebuleni unatakiwa afanyeje?kaongea na US na NATO for 10 years wasi-expand eastward lkn wamem-ignore then vita was last resort kwani comedian zelensiky sasa ndio anaona reality ya vita kuwa siyo sinema za hollywood.Tujikumbushe mwaka 1962 wakati Mrusi alipoweka Missile zake CUBA mbona Marekani alikuja juu manowari zake za kivita zikaizunguka Cuba kwa sababu aliona usalama wake upo mashakani kwani Adui Mrusi kaja kuweka kambi sebuleni,Je Cuba haikuwa Nchi huru-A Sovereign State?Kwa nini iwe sawa kwa Ukraine kujiunga NATO na kuwakaribisha NATO lkn haikuwa sawa kwa CUBA kumkaribisha Mrusi? AMERICA NA WEST EUROPE wao na Media zao ni wanafiki watupu. ni kama ambavyo Tanzania hatuwezi kuruhusu adui yetu kuweka kambi Zanzibar,au unafikiri kwa nini tunabembeleza muungano wakati hatuna economiv benefits kihivyo?
MY TAKE;Nasimama na Putin piga hao vibaraka wa wakoloni ili dunia iwe na balance of power
 
Sikubaliani na anachofanya putini kufuruga amani ya dunia huku alkiwwaacha waafrica wakifaabika kweli kwel
 
Hakuna aliyesema ni sawa,watu wengi tu walilaani vitendo vya kibabe vya wamarekani,siyo halali kwa nchi moja kwenda kuivamia nchi nyingine inayojitawala na kuipangia maamuzi ya kufanya haijalishi ni Marekani au Russia.
You must be a smart champ to think this way
 
Back
Top Bottom