jukumu la udereva namkabidhi Mzee wa Rula wewe na Erickb52 hamuaminiki
usiwe na wasiwasi kabisa. Hicho kiwanja nitakupeleka na ngwasuma utawaona. Ukifika Arusha nishtue nikupokee! Usisikilize hao akina Mungi, Erickb52 wala PakaJimmy! Wote wanaishi Nduruma! Huyo Blaki Womani hauwezi kumwona maana yupo Olmotonyi. Mzee wa Rula anaishi Longijabe. Mi nipo maeneo ya Makao mapya hapa nakusubiri!
Umefika wapi bibie!?
Hahahahaha!Mimi ndiye alwatan wa jiji! Napendwa na Smile, sweetlady, ladyfurahia na nimeoa binti mzuri kuliko wote anaitwa marejesho. Mamzalendo ananipakazia mtoto ili anipate lakini wapi! PakaJimmy, Nicas Mtei na St. Paka Mweusi wananionea wivu vibaya! Kama ukifika utaniona na nitakupa ramani zote za jiji!
Hahahahaha! Yatakushinda meen!
Hahahaha! Leo umejimwaga kweli Filipo! Nakuona unavyokazana kuchafua cv yangu lol.Karibu sana Arusha amu! Nitakutambulisha kwa dada zangu lilyflower, Preta, Blaki Womani. Na ndugu zangu, Arushaone, Erickb52, LiverpoolFC, Mungi, na wengine kibao! Baada ya "mapokezi" nitakupeleka nyumbani, utamwoma wife wangu marejesho. sweetlady hajatulia hivyo sitakuonesha!
Hahahahaha! Yatakushinda meen!
Wewe! Kudadadadeki! Umentengulia udhu bana khaaa!Wale wa Babati utawaweza au unashoka tu
![]()
amu usidanganywe, nikweli hao wote waliotajwa hawaishi mjini, tena huyo Blaki Womani anaishi mto wa mbu. ila na Filipo naye anaishi kiding'a.
ni mimi peke yangu ndo mwenye mji, labda kwa mbaaali LiverpoolFC ndo kidogo anaujua huu mji lakini siyo sana