Mbezi safarini Arusha

Mbezi safarini Arusha

Mama si unakumbuka nilivyokuwa naogopa mambo ya kuchanganyiwa maji ya kuoga na mdalasini,nikajua na wewe ni wa huko Tanga,kumbe ni chotara,nimekupenda zaidi kwa kuwa na mimi ni chotara kati ya msukuma wa Maswa na Msukuma wa Bariadi...

sawa nawapendaje wasukuma yaani umepita kwa kabila tu experience yangu ya nyuma wasukuma ni watu waliokuwa wananijali na kunipenda sana
swali:upo tayari nikuogeshe na maji ya hiriki?maana nakumbuka ulisema huo ni uchawi
 
Last edited by a moderator:

Aa..aaaaaaaaaaaa......Unataka kuanza sasa,hebu subiri kwanza tupange mipango mingine ya maisha....
 
Preta
Arushaone jamani samanhanini wengine nimewasahau naja huko nitakaa mpaka jumatatu
natumai nitaonana na hata mmoja wa hapa.
Nafikia USA.Asubuhi njema

karibu sana mpenzi.....bahati mbaya nitakuwepo jimbo la uchaguzi....nataka nizungumze na wananchi wangu......ila kuna makamanda wa kutosha......watakupa company.......
 
karibu sana mpenzi.....bahati mbaya nitakuwepo jimbo la uchaguzi....nataka nizungumze na wananchi wangu......ila kuna makamanda wa kutosha......watakupa company.......

mwambie kabisa kwamba mimi ndiye ninapokea wageni!
 
karibu sana mpenzi.....bahati mbaya nitakuwepo jimbo la uchaguzi....nataka nizungumze na wananchi wangu......ila kuna makamanda wa kutosha......watakupa company.......
Aksante Preta kwa kusikiliza ushauri wa PakaJimmy!....una adabu sana siku hizi!...tangu Babu Dark City akukalishe chini na kukucheza mkole pale Arusha-Raha naona umebadilika sana!
 
Jacuzzi.... Teh teh teh!!!! Goodmorning daddy...

hahaha si waijua ile miraha ya kwenye jacuzzi...mara umejilaza mara umesimama, maji ya moto, mishumaa, wine pembeni, kijitabu cha maloveee kinahusika pia lol......

morning pumpkin....vipi waendeleaje na hali yako!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom