Mbezi safarini Arusha

Mbezi safarini Arusha

Last edited by a moderator:
Filipo nimeona hilo tangazo la ngwasuma ukumbi sijui unaitwa adventure
 
Last edited by a moderator:
Nimetoka sentro mda huu wanasema leo hawapokei watuhumiwa mpaka baada ya mwaka mpya. sweetlady yupo kwa nitonye hivyo hawezi kufanya mapokezi. nimemtuma Lily Flower atarudi wiki ijayo, so mi ndo dereva pekee mwenye leseni hapa mjini, na kazi ya mapokezi nafanya mie mwenyewe

jukumu la udereva namkabidhi Mzee wa Rula wewe na Erickb52 hamuaminiki
 
Last edited by a moderator:
Filipo nimeona hilo tangazo la ngwasuma ukumbi sijui unaitwa adventure

usiwe na wasiwasi kabisa. Hicho kiwanja nitakupeleka na ngwasuma utawaona. Ukifika Arusha nishtue nikupokee! Usisikilize hao akina Mungi, Erickb52 wala PakaJimmy! Wote wanaishi Nduruma! Huyo Blaki Womani hauwezi kumwona maana yupo Olmotonyi. Mzee wa Rula anaishi Longijabe. Mi nipo maeneo ya Makao mapya hapa nakusubiri!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom