Mbezi safarini Arusha

Mbezi safarini Arusha

wallah....leo unalala ndani......ole wako nikuone Ngwasuma........
Huku hakuna Ngwasuma, hata maana yake hawajui!
Kuna madude yako mbele dakika kadha kama: Paco De Lucia, Red Hot Chilli Peppers, The Beatles, Salvador Santana Rock, na mengineyo!
Tembea uone mrembo!
 
Huku hakuna Ngwasuma, hata maana yake hawajui!
Kuna madude yako mbele dakika kadha kama: Paco De Lucia, Red Hot Chilli Peppers, The Beatles, Salvador Santana Rock, na mengineyo!
Tembea uone mrembo!

he he...haya bana....nitasema nini sasa....mwenzangu naona unakula vitu vya chacha...mirengue....salsa....kumbia etc.....sikuwezi......
 
amu Karibu sana na ujisikie unakuja nyumbani! Wewe ukifika juza!

ahsante sana na ilibakia kidogo leo nivae hiyo jezi ya liva ila nikaipotezea
haya nitawajuza
 
Last edited by a moderator:
Amu, achana na hawa wababaishaji we niambie unashukia wapi, je ni usa stand? au leganga? usafiri sio wakuuliza kimyakimya!

nashukia stand kuu mwaya hata siijui ipo wapi
 
Karibu sana Arusha amu, nimeshaku pm namba zangu, afu mi nina maboga mengi hom kwangu mpaka gesti, nimeambiwa unapenda kula maboga kwa sana bibie.

Achana na st. paka mweusi huko anakokuelekeza anakupoteza lol

dah am speechless bora hujamtag st paka mweusi na mimi simtagi maana angekuja na kukurarua
 
amu Duh! Kumbe nawe umo mwenzangu? Ungekita mwilini tu na jana tumewadadafua wale vibonde wa Italy na tumekita round ya pili! Karibu sana member mwenzetu! Na tangu awali nimeshakwambia jisikie unakuja nyumbani kwenu!

Vile vile usiache kupitia huku uburudike na matokeo ya jana

MAJIBU HAPA

ahsante sana na ilibakia kidogo leo nivae hiyo jezi ya liva ila nikaipotezea
haya nitawajuza
 
Last edited by a moderator:
amu umefika wapi?
ukifika Moshi nijulishe mumy!

N.B
Majungu ruksa ila habari ndio hiyo!
 
Last edited by a moderator:
nani kakwambia anapitia Moshi....?.....muache kukariri........
Hahahhahaaaaa kweli kabisa....asingesema Mbezi ungekuwa sahihi ila kwa huko hawezipitia dom so lazma Moshi imuhusu.
 
Back
Top Bottom