Mbezi safarini Arusha

shost usijali akinitongoza tu nakuambia sawa swrty????

amu hata kama bado hujanikadidhi changu lakini nakuamini kuwa utanitunzia ufikapo Arusha na siku tukionana utanikabidhi bila shaka,huyu Filipo huyu wala sina imani naye huyu
 
Last edited by a moderator:
huo unaitwa unafiki
duh yani nampa hongera marejesho mie mume kama wewe vituko ambavyo ningekufanyia ungekoma na mimi lione kwanza
tamaa tu

we nawe unatakiwa kuwa kama Madame B, Zinduna au lara 1! Sio unaleta ushamba wa akina Smile na sweetlady! Unajua bahati uliyoipata ya kuongea na mimi!? Tena asubuhi asubuhi mbele ya wife! Usichezee bahati. Nitafute upate "mapokezi!"
 
Last edited by a moderator:
halafu mtindo wa kunipa makabila si yangu sijapenda
mie ni chotara mzaramo na mndereko umenipata??

Mama si unakumbuka nilivyokuwa naogopa mambo ya kuchanganyiwa maji ya kuoga na mdalasini,nikajua na wewe ni wa huko Tanga,kumbe ni chotara,nimekupenda zaidi kwa kuwa na mimi ni chotara kati ya msukuma wa Maswa na Msukuma wa Bariadi...
 
hah hah hah hah! Mnyantuzu na Mchwezi!
 
Back
Top Bottom