Mbezi safarini Arusha

Preta
Arushaone jamani samanhanini wengine nimewasahau naja huko nitakaa mpaka jumatatu
natumai nitaonana na hata mmoja wa hapa.
Nafikia USA.Asubuhi njema

Karibu sana Arusha ila usishukie Usa. Njoo moja kwa moja town leo Wazee wa Ngwasuma wanahusu hapa jijini!
 
Last edited by a moderator:

Masikini,namhurumia kipenzi changu cha moyo amu kwa kusoma hii post yako Filipo,na namshauri katika wote atakaofikiria kuonana nao wewe Filipo usiwemo kwenye list.Na mbaya zaidi itakuwa endapo ataonana na Li Erickb52 ,Li Arushaone na Li Mungi .Ni afadhali akaonana na Preta au Lily Flower.By the road msalimie mchumba wangu marejesho Filipo.Mwambie nimeshabuku Fastjet kuja Tanga kwenye ile trip yetu na nikimuona Nicas Mtei huko atanitambua....
 
ahsante Filipo we utakuwepo???
Yani hata ramani siijui
 
Last edited by a moderator:
Masikini,namhurumia kipenzi changu cha moyo amu kwa kusoma hii post yako Filipo,na namshauri katika wote atakaofikiria kuonana nao wewe Filipo usiwemo kwenye list.Na mbaya zaidi itakuwa endapo ataonana na Li Erickb52 ,Li Arushaone na Li Mungi .Ni afadhali akaonana na Preta au Lily Flower.By the road msalimie mchumba wangu marejesho Filipo.Mwambie nimeshabuku Fastjet kuja Tanga kwenye ile trip yetu na nikimuona Nicas Mtei huko atanitambua....

etu kipenzi cha moyo mimi haya bana
ila ningefurahi kama ningeonana na Preta na wengine wote ratiba yangu ipo tight kama hawatojali wanipm tumeet
nicheke mie msukuma wewe
 
kwa msaada tu msukuma wewe fastjet haina route ya tanga ni mwanza na kilimanjaro tu
so umebugi meeeen!!!!
umechemsha meeeeeen!!
 
Sasa unakataa amu mimi kukuita kipenzi cha roho yangu kwa nini..??Kumbuka ile mada ya umpendaye juzi nilishukuru nilipoona hawakukutaja,au unataka nifanyeje ili uamini binti wa Ki tanga...
 
Last edited by a moderator:
kwa msaada tu msukuma wewe fastjet haina route ya tanga ni mwanza na kilimanjaro tu
so umebugi meeeen!!!!
umechemsha meeeeeen!!

Achana na huyo nyau St. Paka Mweusi! Ndio kwanza amemaliza lindo na akifika home anakuta wifu keshaenda kuuza uji wa ulezi kule kwa Mtogole! Njoo Arusha utanikuta na utapata chochote unachotaka!
 
Hata sijabugi stepu si ntatokea Mwanza na ntashukia Arusha kisha nachukua barabara.Kipi bora toka Mwanza mpaka Tanga kwa barabara au nipunguze safari kwa Fastjet La Aziz wangu...
 
kwa msaada tu msukuma wewe fastjet haina route ya tanga ni mwanza na kilimanjaro tu
so umebugi meeeen!!!!
umechemsha meeeeeen!!

Achana na huyo nyau St. Paka Mweusi! Ndio kwanza amemaliza lindo na akifika home anakuta wifu keshaenda kuuza uji wa ulezi kule kwa Mtogole! Njoo Arusha utanikuta na utapata chochote unachotaka!
 
Last edited by a moderator:
Masikini,namhurumia kipenzi changu cha moyo amu kwa kusoma hii post yako Filipo,na namshauri katika wote atakaofikiria kuonana nao wewe Filipo usiwemo kwenye list.Na mbaya zaidi itakuwa endapo ataonana na Li Erickb52 ,Li Arushaone na Li Mungi .Ni afadhali akaonana na Preta au Lily Flower.By the road msalimie mchumba wangu marejesho Filipo.Mwambie nimeshabuku Fastjet kuja Tanga kwenye ile trip yetu na nikimuona Nicas Mtei huko atanitambua....

St. Paka Mweusi salamu zako nimezipokea kwa mikono miwili!
 
Last edited by a moderator:
Achana na huyo nyau St. Paka Mweusi! Ndio kwanza amemaliza lindo na akifika home anakuta wifu keshaenda kuuza uji wa ulezi kule kwa Mtogole! Njoo Arusha utanikuta na utapata chochote unachotaka!

Filipo nitake radhi Filipo kabla sijareport abuse,yaani unataka kunipeperushia kipenzi changu amu hivihivi eti anione nina wife wakati wanajamii wote wanajua kuwa nipo single and available to amu only
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom