Mbeya: Mume amuua mkewe kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili

Jeshi la polisi litoe wito pia watu wawe waaminifu katika ndoa zao, na ambao hawajafunga ndoa wawe waaminifu kwenye mahusiano yao, la sivyo mauaji hayatapungua kamwe. Siku hizi watu wanauza ngono bila kujali ana ndoa au mahusiano, tamaa ya hela mbele sana. Siungi mkono kuua kwa namna yeyote isipokuwa ktk self defence. Ila mtu anakula hela za mpenzi wake then ana msaliti akiulizwa majibu machafu lazma hasira ipande na hasira ikipanda lolote linaweza kutokea.
 
Back
Top Bottom