Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Unazijua gram 24?Hiyo ni pafu moja kwa sisi watumiaji!Kwa kiwango hicho ni wazi huyo mtu ni mtumiaji na si muuzaji!Huwezi kuwa muuzaji halafu ukakaa na gram 24!So huyo ni muathirika na hununua ili atumie,ni ajabu muathirika unamfungulia kesi ya uhujumu uchumi!What a shame!Ukiwa na akili isiyopelekeshwa na mahaba ya kisiasa utanielewa!
kwahiyo unashauri afunguliwe mshitakaa ya aina ngani?
 
Polen Sana makamanda wa chadema kwa pigo mlilo lipata la kamanda wenu kukutwa na hatia ya kujiusisha na madawa ya kulevya

Pia nimeona Ana mashtaka ya uhujum uchumi...
Daah kwahiyo ushamuhukumu tayari kuwa kakutwa na hatia?
Sioni mantiki ya teja kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi!Kwa kiwango hicho cha gram 24 huyo si muuzaji bali mtumiaji maana hiyo ni pafu moja tu!
 
Huyu dogo anabahati bila Pompeo kumshtukia Magu hadharani baada ya mikasa ya akina Saanane, Azory na akina Lissu dogo angeondoka.

Duh! awamu hii hatari Police anasoma matango poli yake with confidence, bila tashwishwi wala kupepesa macho kama vile kweli hizo cocaine wamempata nazo jamaa.

Kweli maisha yanaenda kasi story tulizokuwa tunasikia kwa watawala wenzetu zimetufika!
 
Endelea kudhani ukimya wako ni salama sana kwako!!ipo siku utakapoguswa hata kama ni indirect utakumbuka hii comments!! Utawala usiozingatia sheria wala utu hauna budi kukemewa..ukibaki kimya huna tofauti na wao

Sent using Jamii Forums mobile app
sikia nikwambie wewe ni rafiki yangu wa karibu.
fanya kazi pambania maisha yako alafu uone kama utabughidhiwa na mtu.

ila ukijifanya much know wewe ndo kimbelembele basi mimi rafiki yako ntakuletea ka chai tu huko selo sitokuwa na msaada zaidi ya hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli anahusikaje hapo kwenye madawa ya kulevya,acha chuki za hovyo wewe
Sasa wewe unafikiri amri imetoka wapi? Mbona unajitoa ufaham? Unaaambiwa kuwa hata hao mapolisi wanasikitika Lakini hawana namna bado unataka kujitoa ufaham, Yule Mkuu wa mbeya alipofunga baar asubuhi yake, Yule wa Iringa asubuhi yake huyu wa dar asubuhi yake, unaamabiwa kuwa kila kitu kinachofanyika kwa sasa amri inatoka kwa magufuli na hata hao polisi huku nje wanasimlia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole yake lakini kiuhalisia huyu jamaa Hana ustalabu .Huwezi kukosoa viongozi was ngazi za juu kwa matusi na kuwazalilisha.Uanaharakati ufanyiwe kwa kukosoa kwa hoja.Namfam vizuri huyu jamaa Hana maadili.Mhimu anatakiwa ajifunze ajenge hoja vizuri akifanya hivo kisiasa atafika mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuambia nani kuwa magufuli anaendesha mambo kistaarabu? Nchi imeishaingia choo cha kike alieko kule juuu hajieshimu ndio unataka iwe je

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana mtanzania mtu mzima, unadiriki kuandikia serikali ya taifa lako neno la kashfa kuwa " tukiwaambia mnavuta bangi bila malengo mnalalamika" alafu unadhani utabaki salama bila kukutwa na mkondo wa sheria! yani unaweza kuta una wakashfu hadi ndugu zako ambao wapo ndani ya ajira ndani ya serikali na kama Raisi alivyosema na mshahara wanapata na bado wanatusi wazi wazi!

Kuna una gari cruiser ya polisi hapa town imeandikwa "if you don't know the rule, don't try the game". Hii ni serikali ya awamu ya tano. Tufanye Kazi.
 
Washauri wake ni hii mibavicha ya humu,
Akitukana rais inaanza kushangilia yeye anavimba kichwa, haya sasa hata muona hata mmoja.

Matoto mengine ni kutesa wazazi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio bavicha Sema misukuma isiyofanya Kazi Kwa kutumia akiri kila kitu ni bunduki tu na manguvu, mwisho itawakosti wasukuma wote, kuna kipindi sisi wasukuma tutapata taaabu Sana huko mbeleni tuombe MUNGU huyu mzeee apone na huo ugonjwa anaoumwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana mtanzania mtu mzima, unadiriki kuandikia serikali ya taifa lako neno la kashfa kuwa " tukiwaambia mnavuta bangi bila malengo mnalalamika" alafu unadhani utabaki salama bila kukutwa na mkondo wa sheria! yani unaweza kuta una wakashfu hadi ndugu zako ambao wapo ndani ya ajira ndani ya serikali na kama Raisi alivyosema na mshahara wanapata na bado wanatusi wazi wazi!

Kuna una gari cruiser ya polisi hapa town imeandikwa "if you don't know the rule, don't try the game". Hii ni serikali ya awamu ya tano. Tufanye Kazi.
Hahaha, basi umejiona mtaaalam kweli kweli.
 
Kwa Comment kama hizi ni wazi hata wewe na wenzako mnajua wazi amevambikiziwa kesi kisa mienendo yake ya kisiasa!Walaaniwe wote wanaoshirika kudhulumu haki ya watu kuishi kwa uhuru na amani!
Amebambikiwa ndio sasa unasemaje?

Kwanza vipi mbona hapo sioni wale walikuwa wanalike matusi yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mkoloni Sasa atalala usingizi baada ya mbu ampigiae kelele kunaswa kwenye neti.Uko kwenye risk ya kukamatwa ukae na kidhibiti ndani? Hakuna mjinga wa hivo
 
Back
Top Bottom