Mbeya Mjini: Kiboko ya Sugu 2015 ni Mbuzax

Mbeya Mjini: Kiboko ya Sugu 2015 ni Mbuzax

Mwanjelwa juzi mbuzax alienda akiwa na nape walishangiliwa sana harafu mwanjelwa sio mbeya ni sehemu ya mbeya kaka kuna maeneo mengine kati ya kata 36, mbuza kwa sasa ni mwanasheria kumbuka ulisoma nae itende mwaka gani wanaomjua wote wanajua ni mwanasheria
 
Mbuzax siku hizi ni mwanasheria tena aliebobea kama hamfahamu taarifa ndio hiyo kawasaidia vijana wengi hata hao wa mwanjelwa katika matatizo yako ndio mana pamoja na mbuza kuwa ccm hata siku moja hutasikia akizomewa mwanjelwa mana ndio sehemu ameishi nao kwa muda mrefu toka akiwa promota nenda mwanjelwa uliza mbuza tena sio kama sugu anaebebwa na chama mbuza yeye kama yeye
 
Maneno mbofumbofu. Halafu nani kakwambia Mbeya
Mjini kuna wasafwa?
 
Mbuzax siku hizi ni mwanasheria tena aliebobea kama hamfahamu taarifa ndio hiyo kawasaidia vijana wengi hata hao wa mwanjelwa katika matatizo yako ndio mana pamoja na mbuza kuwa ccm hata siku moja hutasikia akizomewa mwanjelwa mana ndio sehemu ameishi nao kwa muda mrefu toka akiwa promota nenda mwanjelwa uliza mbuza tena sio kama sugu anaebebwa na chama mbuza yeye kama yeye

Huyo mbuzi sisi anatuhusu nini?
 
Maneno mbofumbofu. Halafu nani kakwambia Mbeya
Mjini kuna wasafwa?




Kuna wengine humu jf kama mlugo pemba na zimbabwe hata historia hajui mbeya mjini ni kabila gani wenyeji
 
Emanuel joseph mbuzax,hafai kuwa mbunge wa MBEYA MJINI!kama unabsha nenda kwa vjana wa MWANJELWA ukaongee ujinga wako huo!uone watakachokufanya ----- wewe!


Mbowe,slaa,lema ndio wanafaa? Una akili mgando wewe
 
lakini kwenye maandamano huwa mnamuita kuja kuwatuliza wananchi..
 
nimeseme msafwa katika maana ya uzawaa sio kama ni kigezo chakuonyesha ukabila ila kwa ivo ipo wazi hapa nchi yetu kua mzawa ndo anapewa nafasi na watu kumuamini jimbo lazima lirudi kwa mnyakyusa au msafwaa
Huo ni mtazamo wako na kampeni chafu,utakuwa mtumwa wa magamba mpaka lini?
 
------- sugu ni mkinga kuna mbilinyi mngöni acheni umav cdm mwanzo mwsho 2nawanyea 2 sugu ndo prezdaa achana na ---- huyo aendelee na uplomota halafu phd huwa hawajitangaz km biashara mtoa mada umelpwa kdogo umpe promo ---- wewe
 
We M-CCM acha ukabila,msafa na siasa wapi na wapi

"msafa lake jembe"
 
Una uhakika sugu alisoma hapo mbeya day mpk form 2 form Sugu kamaliza form 4 Sabasaba
Secondary Mkoani Mtwara na hadi ukija hapa Sabasaba Sec kuangalia majina na matokeo yao utamkuta na mwaka juzi alikuja pia kwenye maadhimisho ya shule hiyo. Hiyo form two unaijua wewe acha uongo!

Hajamaliza fom 4 .huko mtwara kazusha tu hana lolote huyo sugu

Ni dhahiri unaonyesha umelipwa ns huyo mbuzi uje kumchafulia Sugu we unadhani nimehadithiwa kwani hapa Sabasaba alisoma peke yake hana classmate nyie ndo mnaozusha sasa tuliosoma nae tunamjua ukipewa pesa siku nyingine jitahidi kupunguza usipitilize kama hivi.
 
pumbav hakuna mbilinyi mngoni acheni ujinga wenu nshagundua wote munaobishana kuhusu makabila hapa iliteracy nyote nyie ukabila wanin mbwa nyie
 
huyu namshauri aendelee na kusimamia radio yake akijaichanganya ataumia
 
Back
Top Bottom