Mbeya Mjini: Kiboko ya Sugu 2015 ni Mbuzax

Mbeya Mjini: Kiboko ya Sugu 2015 ni Mbuzax

emanuel joseph mbuzax,hafai kuwa mbunge wa mbeya mjini!kama unabsha nenda kwa vjana wa mwanjelwa ukaongee ujinga wako huo!uone watakachokufanya ----- wewe!

mwanjelwa wale ni wa viroba tu pia jimbo la mbeya mjini sio mwanjelwa tu
 
Aminini yale niliyo waambia mbeya mjini mbuzax atapita kwa kishindo kikubwa sana ifikapo 2015

Ni ngumu sana kwa Mbuza kumshinda mtu kama Mary Mwanjelwa ndani ya CCM,ila either awe Mbuza au Mary Mwanjelwa,Sugu ana kazi ngumu sana kurudi Bungeni.
 
Mwanjelwa kajishinda mwenyewe kwanza hadi sasa kakatazwa na bunge la tz kusafiri nje ya nchi coz aliiba cheni,pia hana sifa za kuwa mbunge mbeya labda apewe tena
 
mkuu nadhani huyo anataka tumtajie majina ya koo za kikinga,maana zake na kila koo ilishughurika na nini!. Anawajua Mahenge,Sanga,Tweve,Mbilinyi,Tuntemeke,Kyando,Makasini n.k!?[
QUOTE=
Dunia;8562261]pumbav hakuna mbilinyi mngoni acheni ujinga wenu nshagundua wote munaobishana kuhusu makabila hapa iliteracy nyote nyie ukabila wanin mbwa nyie[/QUOTE]
 
Mwambie huyo,aache ujinga.Huyo mbuzax mwenyewe anaomba ushauri sn toka kwa Sugu,na ndo msimamizi wa station ya radio ya SWEETY FM inayosadikika ni ya Sugu.Sasa huyu sijui wa wap huyu na utumbo wake huku jf kwa waelewa zaidi.Nenda fb kwa watoto wenzako huko.
 
We kweli mwahaja sijui haja ipi? Ni ujinga uliotukuka kusema mbuza anaomba ushauri kwa sugu phd ikaomba msaada kwa fom two tena inasemekana hata mtihani wa fom two alifeli na wakati huo wastani wa kufaulu ilikuwa 26,labda mbuza wa huko kwenu
 
Sugu ndio huwa anaomba msaada wa promo kwa mbuza safari hii alikataliwa ndio mana nyimbo ya hakuna matata ya sugu haija hit mbuza ndie mmiliki wa radio sugu pikipiki yenyewe alishindwa kumiliki ubunge ndio umempa gari ndio ije radio
 
ni ngumu sana kwa mbuza kumshinda mtu kama mary mwanjelwa ndani ya ccm,ila either awe mbuza au mary mwanjelwa,sugu ana kazi ngumu sana kurudi bungeni.

mary mwanjelwa hana haiba ya uongozi hata chama hakimjui ccm haitakua na chaguo la yule dada mary mwanjelwa
 
Mary mwanjelwa nilisikia ni mwizi na amezyiliwa kutoka nje ya nchi sasa hii itamuwekea kikwazo na kusababisha bwana emmanuel joseph mbuza kua chaguo la kwanza ccm mbuza vijana wengi wa mjini wana muelewa habari ndo hio jaman.....mbuzax mtu wa watu jaman mungu amsimamie na kumpa maono haya yakua mbunge wa mbeya mjini
 
We kweli mwahaja sijui haja ipi? Ni ujinga uliotukuka kusema mbuza anaomba ushauri kwa sugu phd ikaomba msaada kwa fom two tena inasemekana hata mtihani wa fom two alifeli na wakati huo wastani wa kufaulu ilikuwa 26,labda mbuza wa huko kwenu

'Edo muongo' acha uongo mbuzax a.k.a EMMANUEL JOSEPH,hana PhD. labda kama ni PHILOSOPHY of darkness.
 
kuna maswali mengi sana kutokana na hoja ya huyo pumba hapo juu any way ni wana mbeya gani watakuunga mkono kwa hoja nyepesi kama hii...
 
'time will tell' alafu mkuu 'ILEMI' ndiko anakoishi IMA. atakuwa shemeji yako ndo maana unampeperea!teheeeee


Mbona una point za kike toka siasa hadi ushemeji wapi na wapi,kweli time will tell anguko la sugu,mkinga yule mvaa yebo yebo
 
Kuna maswali mengi sana kutokana na hoja ya huyo pumba hapo juu any way ni wana mbeya gani watakuunga mkono kwa hoja nyepesi kama hii...


We na huyo bibi uliemuweka katika picha yako ni marafiki wa sugu wote wavuta bangi
 
Nifahamisheni wadau hapa jamani:

Vijana wa mbeya mjini wamekua wakijutia sana maamuzi yao ya 2010 kumchagua sugu mbeya mjini hasa kwa kuto timiza ahadi zake na kushindwa kusimamia miradi mingi iliyopo jiji la mbeya mfano barabara zinazojengwa ndani ya jiji ni mbovu kashindwa kuisimamia serikali ili zitengenezwe zenye ubora kiasi ya kwamba inawekwa cement badala ya lami na yeye ndo muwakilishi wa jimbo la mbeya mjini na mengine mengi hivo kupelekea kugeuza mitizamo na kuelekeza kwa kijana wao mzawa, msafwa na wa mbeya emmanuel joseph mbuza maarufu kama mbuzax na wa kiahidi kumchukulia fomu ya ubunge 2015..

Wengi nazani mtakubaliana na mimi kwa uchapakazi wa huyu kijana ni amekua role model wa vijana wengi wa jiji la mbeya na kila wamuonapo humuita mbunge mbunge kitu ambacho kinasadikiwa kua ni anguko la sugu ifikapo 2015 karibuni wana jamvi nimewakilisha

Aseeeh! Leka ubhukonyofu! Hatutaki kuongozwa na ukabila. Tunataka kuongozwa na mtu mwenye uwezo wa kutetea maslahi ya watu,aliyechaguliwa na watu na anayependwa na watu.
 
Back
Top Bottom