Mbeya long time kitambo

Uyo mwl mwangomile,,nahisi amewahi kufundisha Chunya..Alikua mwl wa somo la Hisabati..Anapiga bakora ni balaaaaa
Ndiyo huyo huyo ila sina uhakika kama aliwahi kufundisha chunya
 

Usisahau bus la mwailubhi. Daladala huko zinaitwa mizunguko.
 
Dah migagi umenikumbusha mbali sana
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…