Nyasirori
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 366
- 527
Niliwahi kuingia hadi jikoni hapo Mfikemo, nilichoka ndo nikahama siku hiyo hiyo. Kuna mgahawa nafikiri wa mama wa asili ya Kaskazini ulikuwa kwenye kighorofa Fulani karibu na kituo cha mafuta pembeni ya Millenium Plaza, nilikuwa Napata hapo supu ya kuku tamu sana na lunch, halafu naunga hadi kesho maana usiku hakukuwa na huduma hapo.Mfikemo bogus kabisa,chipsi yai utakula na tomato tu,mishkaki mikavuu,supu kongoro wanakuletea fupa zima imepoa,ndizi hamna wakanipa chapati yaani wiki nilikaa pale nilijuta.ila ukipata mwenyeji carnival kule mwanjelwa kuna misosi heavy.