Mbeya international airport | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbeya international airport

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by BARRY, Aug 24, 2011.

 1. B

  BARRY JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Jamani kuna yeyote anayejua ule uwanja wa ndege wa kimataifa wa mbeya nini kinaendelea coz sijawahi sikia ndege zinatua na kuruka kutoka huko. It's many years now since the construction started.........au hauna viwango vya kimataifa?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kwanza unaitwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa SONGWE na siyo MBEYA!...Ukitamka hivyo unamaanisha ule mdogo wa Mwanjelwa!
  Pili, uwanja huu bado haujamalizwa kujengwa, japo kimipango unatakiwa uwe tayari by December2011...tunaamini kweli utakuwa operational coming that said time.

  Ishu ya Viwango ni dhana pana sana!...Maana ukisemea viwango, hata JNIA na KIA havina viwango vya kimataifa katika idara fulani fulani nyingi tu!...Lakini kiwango kilicho kikuu katika viwanja ni Njia ya kutua na kurukia pamoja na viambata vyake!...Kwa upande huo nikuhakikishie kuwa viwango vipo mkuu, na ni vya hali ya juu.
   
 3. B

  BARRY JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  well said, may be kuna matumaini hapo ngoja tusubiri hadi december tuone! nina mpango wa kufanya biashara huko southern highlands so uwanja huu utakuwa kiungo safi, tuombe mola
   
 4. Whisper

  Whisper JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2011
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 502
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Issue kubwa hapa ni kuwa kuna ongezeko la gharama kutokana kushuka kwa thamani ya fedha yetu na kwamba mkandarasi amekuwa akizungushwa sana kupata fedha kutoka serikalini kinyume na mkataba.

  Kwa mfano, mkandarasi ameshindwa kujenga jengo kubwa la kupumzikia wasafiri (alisub contract kampuni ya kichina) lakini mpaka leo hii hakuna kinachoendelea. Runway ilikuwa iwekwe lami over six months ago wakasingizia mvua, sasa kiangazi hiki sijui watasingizia nini.

  Generally, ni ubabaishaji mtupu unaoendelea pale. Niliwahi kuongea na one of the senior engineer na akaniambia kuwa hata hiyo December ni ndoto....
   
 5. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Ujenzi wake ulisimamishwa kwasababu za kisiasa, Hivi unafahamu kwamba Mwandosya ndiye aliye initiate hicho kitu? Hivi unafahamu wakati kikwete anachukua fomu za urais na Mwandosya naye alichukua?
   
 6. Mnene 1

  Mnene 1 Senior Member

  #6
  Aug 24, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli Mkuu, nimepita pale week iliyopita hamna kinachofanyika pale. Nilichoona ni kifusi cha mchanga uliowekwa pale siku nyingi zilizopita.
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Niliwahi kupita pale nikamwuliza chief engineer/site manager wa ujenzi kuwa utakuwa na uwezo wa kuhost ndege ya ukubwa gani akaniambia ni 737...!!!!!!!!??? kwa uwezo huu ndege ambazo they are almost in decomissioning processes na manufacturer, bado tuuite ni uwanja wa kimataifa? I hope alinidanganya!!
   
 8. B

  BARRY JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Dah, inawezekana ujezi ukakamilika baada ya ****** kumaliza ngwe yake...2020.....kazi ipo....
   
 9. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Well elaborated!
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  Mbeyana ccm wapi na wapi?
  Rudini kwenye historia
   
 11. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Pamoja na maelezo hayo mazuri nimepata kujua viwango vya viwanja vya kimataifa kwa maana kwamba si lazima ndege kubwa za kimataifa zitue pale, ila uwezo wa kutua ndege hizo pamoja na connection ya kiwanja hicho na viwanja vingine vya kimataifa. Kuna viwanja vingi tu vya kimataifa hapa duniani hakuna ndege ya kimataifa inayotua pale, ila kuna domestic airplane zinazosomba watu kwenda kwenye viwanja vikubwa zaidi.

  Hii ni sawa na mmoja anayefikiri highway ni ile ambayo ipo kwa mfumo wa divided lane kumbe si kweli maana Mandela road si high way na wenzetu wangeiingiza kwenye list ya park way. Sasa ukilinganisha Barabara ya Dodoma - Kondoa - Arusha na ile ya mandela mwenye akili za kiwango changu atanikatalia kama barabara ya Dodoma Arusha si adopted highway, ila Mandela road ndiyo highway.
   
 12. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  Decison made on political ground zitendeal kulitafuna taifa hili. Mfano soma wikileak cable hi inakupa mfano jinsi viongozi wetu walivyo

  Kwa hiyo mambo ya songwe International Airport ni pride tu na hakuna business or sustainable investmnet yeyote hapo. Na aliyeanzisha hii alikuwa Mwandosya.

  Mengine ndiyo bandari ya Bagamoyo na uwanja wa ndege vile vile
   
 13. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,970
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  Mbeya walimpopoa mawe mkulu wanategemea awajengee uwanja wa ndege wa kimataifa?
   
Loading...