Project Engineer
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,578
- 6,101
- kwani baada ya Lulu kukutwa na hatia ya mauaji yasiyo ya kukusudia, alipewa adhabu gani?Yule aliyeshindwa kesi ya Lulu? Au kibatala yupi?

Usijali soon Mungu anaamua ugomviSisi tunawaangalia tu, wateseni Watanzania,lakini mungu wetu hajalala. Atawachukua mmoja mmoja. Ewe MWENYEZI Mungu washughulikie watesi na majizi wa mali za umma.
Si ulikuwa unamuita Dr. Mihogo sasa imekuwaje tena?
Kiki zinaweza kukutokea puani😂Tuna majitu majinga majinga sn kwenye taifa hili aisee mbaya zaidi mengne yamejiwekea kinga yasishitakiwe aisee.....[emoji51]View attachment 2719622
Ni kweli, maana matumizi ya nguvu huku ni makubwa kuliko akili.Fanya unacho weza ila usipambane na "state in Africa".
Kumbe mkuu umeshanielewa vizuri "Africa unaweza kufanya lolote ili uendelee kuepo madarakani" no body will question you.Ni kweli, maana matumizi ya nguvu huku ni makubwa kuliko akili.
mnashindwaje kuwatoa sasa?CCM ni wepesi kuliko pamba
Huenda walitaka kuwe na kumbukumbu ya sauti yake kwenye makumbusho ya taifa.View attachment 2719269
Taarifa iliyotolewa na Wakili wa Dr Slaa inasema kwamba , kabla ya kufikishwa Mahakamani leo Polisi walitaka kuchukua Sample ya Sauti ya Dkt Slaa (Haifahamiki walitaka kuifanyia nini) , ambapo Dkt Slaa amekataa jambo hilo kufanyika , kwa vile tayari polisi walishasema wanayo sauti yake ambayo wanadai waliinasa akipanga Uhaini wake , basi ni vema wakiitumia hiyo waliyo nayo ili kufanyia mambo yao .
Vinginevyo Wakili wake amedai kwamba wakitaka sauti ya Dkt Slaa basi wafungue kesi mahakamani kuiomba sauti hiyo , inatajwa kwamba jambo hili ndilo limekwamisha Watuhumiwa hao kufikishwa Mahakamani siku ya leo kutokana na mabishano makali kuhusu Sauti hiyo .
========
Bali wadau wengi wanaona Polisi hawakujipanga na kesi hii wameburuzwa tu na Watawala ili kuwalinda Waarabu wa DP WORLD , na ndio maana wanaokoteza
na kuunga unga sauti ya Dkt Slaa ili kutengeneza ushahidi wa magumashi .
Lakini ni vema tukafahamu kwamba , Hakuna popote pale kwenye dunia hii ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu.
---
DKT. SLAA AKATAA KUCHUKIWA SAMPLE YA SAUTI YAKE MBEYA, WAKWAMA KUPELEKWA MAHAKAMANI.
Wakili wa Balozi Dkt. Wilbroad Slaa, Dickson Matata, amesema mchakato wa kumpeleka mahakamani mteja wake Balozi Dkt Slaa na wenzake umekwama baada ya kutokea mabishano ya kisheria katika kituo cha Polisi cha kati Mkoani Mbeya, baada ya kukataa kutoa sampuli ya sauti yake akiwa kituoni hapo.
Akizungumza na waandishi wa habari Wakili Matata amesema mteja wake Balozi Dkt Slaa alisafirishwa usiku wa kuakia Jana hivyo ameonananae mapema hii leo Ili kuanza taratibu za kwenda mahakamani, ambazo zimeshindikana kwa sababu za kiupelelezi ikiwemo kutakiwa sampuli ya sauti iliyokataliwa na mtuhumiwa.
Balozi Dkt Wilbroad Slaa na wenzake, Wakili Boniface Mwabukusi pamoja na Mdude Nyagali walikamatwa na jeshi la Polisi katika maeneo tofauti mwishoni mwa wiki iliyopita.
Namkumbuka slaa alipokuwa anaitetea katiba iliyopo kuwa haina shida nakwamba isishinikizwe kubadilishwa na wanasiasa! Namkumbuka dr. Alipokuwa anaongea sheet juu ya shambulio la lisu. Kwangu mm anastahili kuwepo alipo ili ajifunze kwamba wema hauozi. Wakampime mkojo kwanzaLeo tuko pamoja siyo?
Kwani aliyemhoji na mpiga picha walikuwa hawamsikii anachosema ? Hawawezi wakawa ni mashahidi ??wanachotaka ni ile sauti safi kutoka kwenye chumba kama kile cha kwenye studio .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kutolewa ushahidi na kuchukuliwa ushahidi jaribu kutofautisha hapo.Acha kujidhalilisha. Ushaidi unatolewa Mahakamani. Waulize polisi wako walimkamata kwa vigezo gani? Kwanini hawampeleki mahakamani?
Daah naona hatutaelewana. Siku njema nduguS
Sasa walimkamata kwa vigezo/ushaidi upi? Kwani inatakiwa umkate kwanza ndio utafute ushaidi?
Acheni kulia lia.View attachment 2719269
Taarifa iliyotolewa na Wakili wa Dr Slaa inasema kwamba , kabla ya kufikishwa Mahakamani leo Polisi walitaka kuchukua Sample ya Sauti ya Dkt Slaa (Haifahamiki walitaka kuifanyia nini) , ambapo Dkt Slaa amekataa jambo hilo kufanyika , kwa vile tayari polisi walishasema wanayo sauti yake ambayo wanadai waliinasa akipanga Uhaini wake , basi ni vema wakiitumia hiyo waliyo nayo ili kufanyia mambo yao .
Vinginevyo Wakili wake amedai kwamba wakitaka sauti ya Dkt Slaa basi wafungue kesi mahakamani kuiomba sauti hiyo , inatajwa kwamba jambo hili ndilo limekwamisha Watuhumiwa hao kufikishwa Mahakamani siku ya leo kutokana na mabishano makali kuhusu Sauti hiyo .
========
Bali wadau wengi wanaona Polisi hawakujipanga na kesi hii wameburuzwa tu na Watawala ili kuwalinda Waarabu wa DP WORLD , na ndio maana wanaokoteza
na kuunga unga sauti ya Dkt Slaa ili kutengeneza ushahidi wa magumashi .
Lakini ni vema tukafahamu kwamba , Hakuna popote pale kwenye dunia hii ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu.
---
DKT. SLAA AKATAA KUCHUKIWA SAMPLE YA SAUTI YAKE MBEYA, WAKWAMA KUPELEKWA MAHAKAMANI.
Wakili wa Balozi Dkt. Wilbroad Slaa, Dickson Matata, amesema mchakato wa kumpeleka mahakamani mteja wake Balozi Dkt Slaa na wenzake umekwama baada ya kutokea mabishano ya kisheria katika kituo cha Polisi cha kati Mkoani Mbeya, baada ya kukataa kutoa sampuli ya sauti yake akiwa kituoni hapo.
Akizungumza na waandishi wa habari Wakili Matata amesema mteja wake Balozi Dkt Slaa alisafirishwa usiku wa kuakia Jana hivyo ameonananae mapema hii leo Ili kuanza taratibu za kwenda mahakamani, ambazo zimeshindikana kwa sababu za kiupelelezi ikiwemo kutakiwa sampuli ya sauti iliyokataliwa na mtuhumiwa.
Balozi Dkt Wilbroad Slaa na wenzake, Wakili Boniface Mwabukusi pamoja na Mdude Nyagali walikamatwa na jeshi la Polisi katika maeneo tofauti mwishoni mwa wiki iliyopita.
Hahahahaha punguza makasirikoMjinga sana wewe
DuhMi huwa pamoja na mtu, mi huwa naongea ninaloona liko sahihi kwa wakati huo, ila kwa mdude yule serikali impumzishe tu ana mdomo mchafu
Atamwinywa sana,mpaka atatoa sauti.Hawa watu wana matatizo ya akili, kwahiyo sauti wanaitaka ya nini, wakaifanyie manipulation ili aingie kingi? Aisee!
Acheni kulia lia.Abanwe sawa,atatoa sauti tu.Mbona nyingi zimeondolewa hata kwenye kura! hatuwezi kuacha nchi iuzwe kwa kuwachekea watawala