Mbeya: Dkt. Slaa akataa kuchukuliwa Sample ya Sauti yake

Mbeya: Dkt. Slaa akataa kuchukuliwa Sample ya Sauti yake

Sisi tunawaangalia tu, wateseni Watanzania,lakini mungu wetu hajalala. Atawachukua mmoja mmoja. Ewe MWENYEZI Mungu washughulikie watesi na majizi wa mali za umma.
Hao nao wanaotaka kuvuruga amani kwa mikutano yavurugu waachiwe tu?
1.Wakati kuna wagonjwa
2.wanawake
3.Watoto
4.Wajawazito
5.wazee
Kukiwa na vurugu,makundi hays tabu watakayoipata ni ndogo?Mungu anaangalia kote kote.
 
Fanya unacho weza ila usipambane na "state in Africa".
Nadhani ni Dunia nzima ukitaka kufanya Mapinduzi ukabainika lazima wakunyonge au wakuweke store kwa muda mrefu huko Germany kuna kesi kama hii inayoendelea
 
Ndo maana me nasemaga viongozi wa serikali ya CCM hawana akili hamnielewi. Hivi kwa akili kama hizi wataweza kuishtaki DPW siku mambo yakienda sivyo
Wataomba kurekodi sauti ya Mwarabu
 
Namkumbuka slaa alipokuwa anaitetea katiba iliyopo kuwa haina shida nakwamba isishinikizwe kubadilishwa na wanasiasa! Namkumbuka dr. Alipokuwa anaongea sheet juu ya shambulio la lisu. Kwangu mm anastahili kuwepo alipo ili ajifunze kwamba wema hauozi. Wakampime mkojo kwanza
Sipendi kabisa haya yanayompata! Ila, kwenye suala la Katiba, wakati ule wa JIWE, alikuwa ananikera sana, alivyokuwa akiongea kuwa hakuna uhitaji wa kushinikiza Katiba mpya! Kubwa kuliko yote, alinihuzunisha sana, alipoulizwa kuhusu Lissu kupigwa risasi. Alidai hilo ni jambo la kawaida tu. Watu wengi wanauwawa kila mahali. Alikuwa anaonekana hataki kumuhusisha yule ambaye wengi tulikuwa tunaona kuna mkono wake!
Pia, twende mbele, turudi nyuma, Dr ameingia upande huo alipo, baada ya "MAMA ANAYEUPIGA MWINGI" kumtosa kwenye Serikali yake!
 
Back
Top Bottom