Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,993
- 11,861
Una akili kisoda sana wewe,Sasa wakati anajibu hivyo kuwa wachukue ile sauti inayosambaa haoni kama automatically tayari anakuwa ametoa sauti?

Una akili kisoda sana wewe,Sasa wakati anajibu hivyo kuwa wachukue ile sauti inayosambaa haoni kama automatically tayari anakuwa ametoa sauti?

Msaidie Mungu ingia barabarani weweSisi tunawaangalia tu, wateseni Watanzania,lakini mungu wetu hajalala. Atawachukua mmoja mmoja. Ewe MWENYEZI Mungu washughulikie watesi na majizi wa mali za umma.
Mahabara ndio nini mkuu?Kwenye IT zipo Software (Voice Font - Kwa mfano) zinaweza tumika zalisha sauti halisi ya mtu mwingine. Mfano naweza imba nyimbo kisha nikatumia sauti ya late Tupac na kuonekana na kusikika 100% ameimba/ sema yeye! Ni ikawa ngumu kuthibitisha kama sio sauti yake mpaka mahabara kutumia oscilloscope inayoweza onyesha voice patterns halisi
Mbowe pamoja na upunguani wa akili ila hili la ugaidi alilifanya sema ni kama lilikuwa tego



Hivi hawezi kula kitu mtaani?Kumuamini Kingai ilikuwa aibu sana !
Kwenye IT zipo Software (Voice Font - Kwa mfano) zinaweza tumika zalisha sauti halisi ya mtu mwingine. Mfano naweza imba nyimbo kisha nikatumia sauti ya late Tupac na kuonekana na kusikika 100% ameimba/ sema yeye! Ni ikawa ngumu kuthibitisha kama sio sauti yake mpaka mahabara kutumia oscilloscope inayoweza onyesha voice patterns halisi
- ana haki zote za mtuhumiwa wa makosa ya jinai
Ooh kumbe? AiseeWanataka waitumie sauti kutengenezea voice note ya uhaini
Mtu anajirekodi voice note "Mimi Slaa nmeapa ntaipindua nchi " halafu hio sample ya sauti inawekwa juu ili isikike sauti ya Slaa.
wanachotaka ni ile sauti safi kutoka kwenye chumba kama kile cha kwenye studio .
View attachment 2719278
AmeenSisi tunawaangalia tu, wateseni Watanzania,lakini mungu wetu hajalala. Atawachukua mmoja mmoja. Ewe MWENYEZI Mungu washughulikie watesi na majizi wa mali za umma.
Jopo la akina NiwemugiziPapa akikohoa tu huyo Dr Mihogo utamkuta mtaani anadunda tu😂😂
Itaga Seminary hiyo!
Hakika mkuu🪑Fanya unacho weza ila usipambane na "state in Africa".
Wanataka waitumie sauti kutengenezea voice note ya uhaini
Mtu anajirekodi voice note "Mimi Slaa nmeapa ntaipindua nchi " halafu hio sample ya sauti inawekwa juu ili isikike sauti ya Slaa.
wanachotaka ni ile sauti safi kutoka kwenye chumba kama kile cha kwenye studio .
View attachment 2719278
Wanataka waitumie sauti kutengenezea voice note ya uhaini
Mtu anajirekodi voice note "Mimi Slaa nmeapa ntaipindua nchi " halafu hio sample ya sauti inawekwa juu ili isikike sauti ya Slaa.
wanachotaka ni ile sauti safi kutoka kwenye chumba kama kile cha kwenye studio .
View attachment 2719278
Kun
- ndio maana ili ushahidi kama huo wa sauti ukubalike mahakamani kuna procedure nyingi sana, mfano huyo anayetaka kutoa ushahidi anatakiwa aoneshe ushahidi ni wa kuaminika, na halisi,
- anatakiwa aoneshe alipataje huo ushahidi, akautunzaje huo ushahidi, na kama aliweka kwenye flash disc anatakiwa aoneshe uwezekano wa kutokuchezewa huo ushahidi,
- na kikubwa zaidi huyo mtoa huo ushahidi anatakiwa aape aandae Kiapo kinachoeleza yote hayo hapo juu
Kiswahili toka primary nilikuwa nagombana na Mwalimu wangu nimekula sana bakora ! Kikubwa ujumbe ufike- fundisha watoto wako wakijue vyema mimi nipotezee kwani akinisaidii kituMahabara ndio nini mkuu?
Kuingiza viroba vya kura feki vituoniHivi police college mbali na kufundishwa kuchukua rushwa nini kingine wanafundishwa?
Lakini ni vema tukafahamu kwamba , Hakuna popote pale kwenye dunia hii ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu.View attachment 2719269
Taarifa iliyotolewa na Wakili wa Dr Slaa inasema kwamba , kabla ya kufikishwa Mahakamani leo Polisi walitaka kuchukua Sample ya Sauti ya Dkt Slaa (Haifahamiki walitaka kuifanyia nini) , ambapo Dkt Slaa amekataa jambo hilo kufanyika , kwa vile tayari polisi walishasema wanayo sauti yake ambayo wanadai waliinasa akipanga Uhaini wake , basi ni vema wakiitumia hiyo waliyo nayo ili kufanyia mambo yao .
Vinginevyo Wakili wake amedai kwamba wakitaka sauti ya Dkt Slaa basi wafungue kesi mahakamani kuiomba sauti hiyo , inatajwa kwamba jambo hili ndilo limekwamisha Watuhumiwa hao kufikishwa Mahakamani siku ya leo kutokana na mabishano makali kuhusu Sauti hiyo .
========
Bali wadau wengi wanaona Polisi hawakujipanga na kesi hii wameburuzwa tu na Watawala ili kuwalinda Waarabu wa DP WORLD , na ndio maana wanaokoteza
na kuunga unga sauti ya Dkt Slaa ili kutengeneza ushahidi wa magumashi .
Lakini ni vema tukafahamu kwamba , Hakuna popote pale kwenye dunia hii ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu.
---
DKT. SLAA AKATAA KUCHUKIWA SAMPLE YA SAUTI YAKE MBEYA, WAKWAMA KUPELEKWA MAHAKAMANI.
Wakili wa Balozi Dkt. Wilbroad Slaa, Dickson Matata, amesema mchakato wa kumpeleka mahakamani mteja wake Balozi Dkt Slaa na wenzake umekwama baada ya kutokea mabishano ya kisheria katika kituo cha Polisi cha kati Mkoani Mbeya, baada ya kukataa kutoa sampuli ya sauti yake akiwa kituoni hapo.
Akizungumza na waandishi wa habari Wakili Matata amesema mteja wake Balozi Dkt Slaa alisafirishwa usiku wa kuakia Jana hivyo ameonananae mapema hii leo Ili kuanza taratibu za kwenda mahakamani, ambazo zimeshindikana kwa sababu za kiupelelezi ikiwemo kutakiwa sampuli ya sauti iliyokataliwa na mtuhumiwa.
Balozi Dkt Wilbroad Slaa na wenzake, Wakili Boniface Mwabukusi pamoja na Mdude Nyagali walikamatwa na jeshi la Polisi katika maeneo tofauti mwishoni mwa wiki iliyopita.

