Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,853
- 99,818
Ngoja a-booze booze na masela huko Segedansee ili aone wenzie wanavyopataga msoto na chawa kama gunia mbili hivi.Anasema walibadilishana namba za simu na Mwamba halafu hakumpigia 😆
Ngoja a-booze booze na masela huko Segedansee ili aone wenzie wanavyopataga msoto na chawa kama gunia mbili hivi.Anasema walibadilishana namba za simu na Mwamba halafu hakumpigia 😆
eti anapanga kumpindua , jmn Hawa watu mbona wanaokoteza visa na vituko. hamuwezi kumziba mtu mdomo kwa staili hii ya kutengenezewa mikesi ya michongo. Wakumbuke 2025 NI kesho kutwa tu hapo, wapiga Kura wanawachora tu .View attachment 2719269
Taarifa iliyotolewa na Wakili wa Dr Slaa inasema kwamba , kabla ya kufikishwa Mahakamani leo Polisi walitaka kuchukua Sample ya Sauti ya Dkt Slaa (Haifahamiki walitaka kuifanyia nini) , ambapo Dkt Slaa amekataa jambo hilo kufanyika , kwa vile tayari polisi walishasema wanayo sauti yake ambayo wanadai waliinasa akipanga Uhaini wake , basi ni vema wakiitumia hiyo waliyo nayo ili kufanyia mambo yao .
Vinginevyo Wakili wake amedai kwamba wakitaka sauti ya Dkt Slaa basi wafungue kesi mahakamani kuiomba sauti hiyo , inatajwa kwamba jambo hili ndilo limekwamisha Watuhumiwa hao kufikishwa Mahakamani siku ya leo kutokana na mabishano makali kuhusu Sauti hiyo .
========
Bali wadau wengi wanaona Polisi hawakujipanga na kesi hii wameburuzwa tu na Watawala ili kuwalinda Waarabu wa DP WORLD , na ndio maana wanaokoteza
na kuunga unga sauti ya Dkt Slaa ili kutengeneza ushahidi wa magumashi .
Lakini ni vema tukafahamu kwamba , Hakuna popote pale kwenye dunia hii ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu
Tuko pamoja na kila anayelinda rasilimali za nchiSi ulikuwa unamuita Dr. Mihogo sasa imekuwaje tena?
Kumuamini Kingai ilikuwa aibu sana !Think tank ya polisi wa hili jambo ndio ile ile iliotengeneza case ya Mbowe.
Sabaya alinaswa labda hao wengineMimi nilifuatilia Kesi ya Akina Hanspope 1982 na hasa Wakili Lakha alivyokuwa mjanja wa sheria
Nikafuatilia Kesi ya afande Zombe
Na hata Kesi ya Ugaidi ya Freeman
Sasa muangalie Sabaya alivyojinasua pamoja na CCTV
Mawakili wa mtaani wamewazidi sana wale wa kuajiriwa!
Huu muda CCM iliwapasa wawaandae mgambo wa kuiba maboksi ya kura mwaka 2024 uchaguzi wa serikali za mitaa na 2025 uchaguzi mkuu. .Ya nini kugombana na wanaharakati?Ni kama wanakula mishikaki kwa kahawa.Haiji kabisa!eti anapanga kumpindua , jmn Hawa watu mbona wanaokoteza visa na vituko. hamuwezi kumziba mtu mdomo kwa staili hii ya kutengenezewa mikesi ya michongo. Wakumbuke 2025 NI kesho kutwa tu hapo, wapiga Kura wanawachora tu .
Weka ushahidiMbowe pamoja na upunguani wa akili ila hili la ugaidi alilifanya sema ni kama lilikuwa tego
Usiamshe hawa wajingaHujaelewa. Slaa sio kwamba anagoma sample zisichukuliwe but anataka zichukuliwe kwa kufuata utaratibu wa kimahakama.
Watakapo mpeleka waiombe mahakama ambayo nayo itauliza sababu ni zipi?
Nakumbuka hata Lissu aliwahi kugomea kuchukuliwa sample ya mkojo na wakakwama
SwadaktaUnadhibitishaje kuwa huyo ni Slaa? Utata unaanzia hapo! Ushahidi wa sauti mahakamani ni mgumu sana labda wa video.
Steve Nyerere anaweza kutuigizia sauti ya Mwl Nyerere na kila mtu akaamini ndiye, jee unadhani sauti hiyo inaweza kutumika mahakamani na kuita Agizo la Julius juu ya jambo fulani?
Mjinga sana weweChadema mtaacha lini ujinga? Polisi wanataka kukamilisha ushahidi wa sauti sasa Dr.mihogo anaogopa nini kuhojiwa kama yeye hausiki? Hii manaa yake ni kwamba Dr.mihogo anajuwa ni yeye alitamka maneno yale kwahiyo anaogopa ushahidi utakamilika kwajili ya kupeleka mashtaka kwa DPP. Slaa kwisha habari yakee hatunae tena.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
nyingine ni ya nani ?View attachment 2719359
Sauti ya kwanza ni ya Slaa
Kama huna wakili, ukiwa naye wakikutesa wanavunja sheriaPolisi wakitaka chochote kwa mtuhumiwa wanakipata, selo kuna mambo ya ajabu mule. Mtuhumiwa hawezi kataa kutoa ushirikiano wanaotaka polisi akiwa mikononi mwao.
Nchi hii ina vituko kweli, imagine gaidi kbs mpaka anatangazwa kule BBC kwa Ugaidi halafu anaachiwa kimtindo 🤣🤣🤣🤣!! Sometimes ni kulichafua Taifa kwa mamb kama hayo.Nchi yetu ina vituko sana.
Haya mambo hayahiyaji hasira,wao walipaswa watafute ushahidi wao,kisha wamuite mahakamani
Hizo nyingine sijawahi kuzisikianyingine ni ya nani ?
Wanatumia Ai( Artificial intelligence )Wanataka waitumie sauti kutengenezea voice note ya uhaini
Mtu anajirekodi voice note "Mimi Slaa nmeapa ntaipindua nchi " halafu hio sample ya sauti inawekwa juu ili isikike sauti ya Slaa.
wanachotaka ni ile sauti safi kutoka kwenye chumba kama kile cha kwenye studio .
View attachment 2719278
Huyu Kingai hafai hata robo.Kumuamini Kingai ilikuwa aibu sana !