Mbeya: Dkt. Slaa akataa kuchukuliwa Sample ya Sauti yake

Mbeya: Dkt. Slaa akataa kuchukuliwa Sample ya Sauti yake

Kwenye IT zipo Software (Voice Font - Kwa mfano) zinaweza tumika zalisha sauti halisi ya mtu mwingine. Mfano naweza imba nyimbo kisha nikatumia sauti ya late Tupac na kuonekana na kusikika 100% ameimba/ sema yeye! Ni ikawa ngumu kuthibitisha kama sio sauti yake mpaka mahabara kutumia oscilloscope inayoweza onyesha voice patterns halisi
 
Sema kwa hili kuna ka ujinga fulani fulani kanatumika ili kumchonganisha rais wetu na wapiga kura. Sababu ya hasa kumkamata Dkt Slaa na wenzake ni za kijinga sana.

Sijui rais wamemdanganya kitu gani mpaka kukubali huu ujinga. There’s a cost kwa reputation ya Dkt Samia ktk hili, sijui kajipangaje but all in all Dkt Slaa hakupaswa kabisa kuwa kwenye spot ya ukamatwaji kwa sababu hapa makundi yanayomchukia Dkt Samia yameongezeka, yaani kundi la Dkt Magufuli, la Dkt Slaa, viongozi wa dini wote, ikumbukwe Dkt Slaa bado anatambulika na Vatican.

Sijui atajinasuaje. Sisi chawa tulishauri aachane na huo mpango tukaonekana wabaya, ni kama ilivyo kwenye vijembe vya kumdhihaki Dkt Magufuli tulitahadharisha
 
View attachment 2719269

Taarifa iliyotolewa na Wakili wa Dr Slaa inasema kwamba , kabla ya kufikishwa Mahakamani leo Polisi walitaka kuchukua Sample ya Sauti ya Dkt Slaa (Haifahamiki walitaka kuifanyia nini) , ambapo Dkt Slaa amekataa jambo hilo kufanyika , kwa vile tayari polisi walishasema ...
Hii ni Aibu kwa Wasomi!
 
Back
Top Bottom