Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,949
- 74,431
Unadhibitishaje kuwa huyo ni Slaa? Utata unaanzia hapo! Ushahidi wa sauti mahakamani ni mgumu sana labda wa video.Hata kwenye serves za Clubhouse zipo sauti za Slaa
Steve Nyerere anaweza kutuigizia sauti ya Mwl Nyerere na kila mtu akaamini ndiye, jee unadhani sauti hiyo inaweza kutumika mahakamani na kuita Agizo la Julius juu ya jambo fulani?
