Mbeya City Football Club - Special Thread!

Aiseeeee!
Mkuu sasa unapotea.
Yani draw ya juzi ya Azam tayari leo umekimbilia Mbeya city duh?
Anyway wewe zunguka mpaka uzimaloze timu zote za ligi kuu kisha utajikuta umeangukia kwa 'KILUVYA UTD'

kuanzisha uzi huu ni sawa na nyingine tu usiogope sana mtu wangu nikawaida tu tupo pamoja mkuu..
 
Toa huu ushuzi tafadhari!kilichowakuta wigan epl ndio ktawakuta nyie wambea site
 
pole sana na stress za jumapili kimwagaaaaaaaaaa habari ya town..
 
Timu yangu ya Jiji huniambii kitu hapo, Mbeya c ndio habari ya mjini.!!
 
Naona mafaza kuona uzi wao mbeya city wamepanick mbaya.... hii haishikiki jamani
 
Rhino1 - Mbeya City 3 Pointi 14 nafasi ya tatu .... Amsha amsha hiyo!!!
 
Back
Top Bottom