Mbeya City Football Club - Special Thread!

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,775
6,553
Hii timu imepanda Daraja msimu huu maskani yake yapo Mbeya Region na inawachezaji wazawa kibao hadi kocha mzawa yaani hii timu ni ya kikwetu kwetu zaidi.

Jezi: Dhambarau tisheti na kaptura nyeupe
kiwanja: Sokoine Stadium
Mdhamini mkuu: Zuku TV
ORODHA YA WACHEZAJI WALIOSAJILIWA MSIMU WA 2013/14
1. Alex Joseph Seth
2. Anthony Mayungu Matogolo
3. Deogratus Deo Mwashinga
4. Yohana Morris Ngonye
5. Hamad Hamza Kibopile
6. Richard Peter Ngalison
7. Richard Brown Mwakyoma
8. Mwagane Yeya Mwanazyembe
9. Yusuph Wilson Mbijima
10. John Daud Kabanda
11. Francis Casto Maganga
12. Geofrey Julius Mwalyego
13. Yusuph Abdallah Lulinda
14. Steven David Mazanda
15. Deus David Kaseke
16. Hassan Charles Mwasapili
17. Juma Ramadhan Abdi
18. Mussa Rajabu Lusewe
19. Baraka Felix Haule
20. Mohamed Said Kijuso
21. Jeremiah John Mangasin
22. Kenny Ally Mwambungu
23. Christian Sembuli Kimwaga
24. David Abdallah Burhan
25. Paul John Nyangwe
26. Paul Michael Nonga
27. Peter Pascal Mapunda
28. Azizi Issa Sibo

1377056_342434849236232_2064391951_n.jpg

First Eleven of Mbeya city squard
1505303_670391853019008_100884124_n.jpg

Mbeya City Fans
1375673_340810976065286_2023531503_n.jpg

1234451_717138061636093_1021581722_n.jpg

KARIBUNI JAMANI .......nyumba yetu inazidi kubwa ......
www.instagram.com/officialmbeyacityfc
www.twitter.com/officialmccfc
www.youtube.com/Mbeyacityfc
http://www.mbeyacityfc.com/
 
Natamani niwaaambie shikamoo Mbeya city ila tatizo hawa ni watani wangu hawa
 
Sehemu kubwa ya wachezaji wa Mbeya city ni watoto wa hapa Mbeya mjini wasio na majina kabisa. Wanachama wa Mbeya city ni machinga, wafanyakazi, wafanya biashara kubwa na sisi wakulima. Tofauti na Dar au majiji mengine ambapo utaona sehemu kubwa ya watu wamevaa jezi man U (AON), hapa mbeya vazi letu la week end ni jezi za timu yetu Mbeya City. hata wakinamama wanaouza sokoni wameikubali timu yao na wamechangia kwa kununua jezi za timu yetu.
 
Kusema kweli kabisa , hakuna jezi inayouza kwa sasa kama ya hii timu , jamani tengenezeni na saizi ya watoto hii ni timu ya kwetu, mbeya city msituangushe tupo nyuma yenu.
 
Mbeya city itakuwa timu yangu ya pili kuipa ushirikiano baada ya YANGA hata kama yanga itashuka daraja.
NAIPENDA YANGA.
 
Hii timu imepanda Daraja msimu huu maskani yake yapo Mbeya Region na inawachezaji wazawa kibao hadi kocha mzawa yaani hii timu ni ya kikwetu kwetu zaidi.

Jezi: Dhambarau tisheti na kaptura nyeupe
kiwanja: Sokoine Stadium
Aiseeeee!
Mkuu sasa unapotea.
Yani draw ya juzi ya Azam tayari leo umekimbilia Mbeya city duh?
Anyway wewe zunguka mpaka uzimaloze timu zote za ligi kuu kisha utajikuta umeangukia kwa 'KILUVYA UTD'
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom