Mbeya City Football Club - Special Thread!

Mbeya City Football Club - Special Thread!

Uongozi WA MCC FC unatoa pole kwa mashabiki wetu Big Shaa, Lusajo na Salum waliopata ajali ya gari Jana eneo la Iwambi Jijini Mbeya hivyo kuwapelekea kupata majeraha, tunawaombea kwa Mwenyezi Mungu waweze kupona haraka, tupo nao pamoja katika kipindi hiki kigumu.

sosi: MCC FC fanpage
 
Ndugu mashabiki timu itaingia kambini siku chache zijazo kwaajili ya maandalizi ya mzunguko wa pili maombi yenu ndio mafanikio ya timu.tunawaamini sana mashabiki wetu.
1479111_376478919165158_2093344235_n.jpg
 
Kesho ni Super Sunday VPL

Yanga SC v Mbeya City CFC
 
mnachoboa viongozi wa mbeya city ni kuzificha jezi yaani watu tupo hapa mbeya lakini tunazunguka kutafuta jezi za kununua kama vichaa. vijezi vinavyopatikana ni vijezi vya watoto tu.

Come on. Kuweni serious kutumia fulsa hii ya kuuza jezi maadam watu wanazihitaji
 
FT Yanga sc 1 - 0 Mbeya City Ngasa
 
Hii timu imepanda Daraja msimu huu maskani yake yapo Mbeya Region na inawachezaji wazawa kibao hadi kocha mzawa yaani hii timu ni ya kikwetu kwetu zaidi.

Jezi: Dhambarau tisheti na kaptura nyeupe
kiwanja: Sokoine Stadium

ORODHA YA WACHEZAJI WALIOSAJILIWA MSIMU WA 2013/14
1. Alex Joseph Seth 2. Anthony Mayungu Matogolo 3. Deogratus Deo Mwashinga 4. Yohana Morris Ngonye 5. Hamad Hamza Kibopile
6. Richard Peter Ngalison 7. Richard Brown Mwakyoma 8. Mwagane Yeya Mwanazyembe 9. Yusuph Wilson Mbijima
10. John Daud Kabanda 11. Francis Casto Maganga 12. Geofrey Julius Mwalyego 13. Yusuph Abdallah Lulinda
14. Steven David Mazanda 15. Deus David Kaseke 16. Hassan Charles Mwasapili 17. Juma Ramadhan Abdi
18. Mussa Rajabu Lusewe 19. Baraka Felix Haule 20. Mohamed Said Kijuso 21. Jeremiah John Mangasin 22. Kenny Ally Mwambungu
23. Christian Sembuli Kimwaga 24. David Abdallah Burhan 25. Paul John Nyangwe 26. Paul Michael Nonga 27. Peter Pascal Mapunda
28. Azizi Issa Sibo

Hatukubali huu usajiri, tunaona timu imelalia upande wa dini moja, haiwezekani hata kidogo!!!!

Oooh, sorry, kumbe ni mpira tu, nilijisahau.
 
22/3/2014
JKT Ruvu Vs Mbeya City (Chamazi)
Live Azam Two saa 9:30 Uchambuzi 10:00 Mechi.
 
mbeya city wapo tayari kukipiga na azam fc
 
Back
Top Bottom