Mbeya City Football Club - Special Thread!

October 13
TeamTeam
Azam
09/10/13
2:0
Mgambo JKT
Mtibwa Sugar
09/10/13
2:1
JKT Ruvu
Rhino Rangers
09/10/13
1:3
Mbeya City
JKT Oljoro
09/10/13
0:2
Ruvu Shooting
Young Africans
06/10/13
2:0
Mtibwa Sugar
Mgambo JKT
06/10/13
0:1
Tanzania Prisons
Coastal Union
05/10/13
0:0
Azam
JKT Ruvu
05/10/13
2:0
Kagera Sugar
JKT Oljoro
05/10/13
1:2
Mbeya City
Ruvu Shooting
05/10/13
1:1
Simba SC
Fixtures. Mia
 
Rnk Team M P W D L G F G A+/- Pts
1
Simba SC 7 4 3 0 1 6 5 1 1 1 5
2
Azam 8 3 5 0 1 1 6 5 1 4
3
Mbeya City 8 3 5 0 1 1 7 4 1 4
4
Ruvu Shooting 8 4 1 3 9 5 4 1 3
5
Young Africans 7 3 3 1 1 3 7 6 1 2
6
JKT Ruvu 8 4 0 4 9 6 3 1 2
7
Coastal Union 7 2 5 0 6 3 3 1 1
8
Kagera Sugar 7 3 2 2 7 5 2 1 1
9
Mtibwa Sugar 8 2 4 2 7 9 -2 10
10
Rhino Rangers 8 14 3 8 1 1 -3 7
11
Tanzania Prisons 7 1 4 2 4 9 -5 7
12
JKT Oljoro 8 1 2 5 4 1 0 -6 5
13
Mgambo JKT 8 1 2 5 2 1 3 -1 1 5
14
Ashanti United 7 0 2 5 4 1 5 -1 1 2. Mia
 
gemu ya leo
Mgambo JKT 0 - 1 Mbeya city
ushindi wa tatu ugenini forza greenb's club
 
Hii timu imepanda Daraja msimu huu maskani yake yapo Mbeya Region na inawachezaji wazawa kibao hadi kocha mzawa yaani hii timu ni ya kikwetu kwetu zaidi.

Jezi: Dhambarau tisheti na kaptura nyeupe
kiwanja: Sokoine Stadium

First Eleven of Mbeya city squard
1239581_432061306914560_864943343_n.jpg


Mbeya City Fans
1375673_340810976065286_2023531503_n.jpg

1234451_717138061636093_1021581722_n.jpg

Mkuu nahitaji jersey ya team yangu japo kutoa support kuwachangia vjana wa Green City,nipo Mwanza.
 
hii timu imepanda daraja msimu huu maskani yake yapo mbeya region na inawachezaji wazawa kibao hadi kocha mzawa yaani hii timu ni ya kikwetu kwetu zaidi.

Jezi: Dhambarau tisheti na kaptura nyeupe
kiwanja: Sokoine stadium

first eleven of mbeya city squard
1239581_432061306914560_864943343_n.jpg


mbeya city fans
1375673_340810976065286_2023531503_n.jpg

1234451_717138061636093_1021581722_n.jpg

a love my home team,uzalendo kwanza hata kama tupo kimaisha ugenini
 
Wanaleta changamoto safi sana. Hongeren Mbeya, mmeamua sana tu. Mikoa kama mwanza na kgoma imejaa wachumia tumbo. Labda siku ALLIANCE AKIWAINGIZA SOKON MADOGO, MWANZA ITAIBUKA
 
mtu kwao!! big up Mbeya city!! wapo walio watumwa bado unasikia ooh Man city haata ndoto tu za kufika huko hazipo pole yao hongera mb eya city.

 
uongozi WA MCC FC unatoa shukrani za dhati kwenu nyote, shukrani nyingi kwa wanafunzi wa Chuo cha SAUT, TEKU, Utumishi WA Uma, Ualimu Mkoani Tabora mlikua nasi kuanzia mwanzo hadi mwisho wa mchezo.
Pia tunaushukuru uongozi WA Shule ya Sekondari Singe na 2J Safari Babati kwa kutukaribisha na kushiriki nanyi katika chakula cha mchana tukiwa safarini kuelekea Jijini Tanga.

shukrani nyingine kwa wote waliofanikisha mchezo wa jana dhidi ya mgambo fc na kufanya timu yetu imalize safari ndefu ya michezo migumu migumu ya ugenini iliyoanzia arusha,tabora na tanga jana kwa mafanikio makubwa ya ushindi mfululizo na hatimae tunarejea nyumbani na point 9 ambazo si rahisi kuzipata ugenini kutokana na mazingira ya ligi kuu ya tanzania yalivyo,siku zote ni yanga na simba tu ndio wamekua na uwezo huo.

Shukrani za kipekee ziwaendee wapenzi wa MCC walioamua kuacha shughuli zao na kusafiri kwa coaster toka mbeya mpaka tanga kuja kuongeza nguvu jana pamoja na wenzetu wengi wa tawi la ubungo terminal dar es salaam waliosafiri pia kwa coaster kutoka dar mpaka tanga hiyo jana,wote kwa pamoja waliwapa deni kubwa sana wachezaji wetu kiasi cha kuwafanya wajitume muda wote wa mchezo kuhakikisha wanalipa deni hilo ambalo si lingine bali ni pointi tatu muhimu.Tunaomba ushirikiano huu uendelee mpaka mwisho bila kuchoka,safari bado ni ndefu.Pamoja Tutashinda.

1381612_342408405905543_1386303137_n.jpg
 
ORODHA YA WACHEZAJI WALIOSAJILIWA MSIMU WA 2013/14
1. Alex Joseph Seth
2. Anthony Mayungu Matogolo
3. Deogratus Deo Mwashinga
4. Yohana Morris Ngonye
5. Hamad Hamza Kibopile
6. Richard Peter Ngalison
7. Richard Brown Mwakyoma
8. Mwagane Yeya Mwanazyembe
9. Yusuph Wilson Mbijima
10. John Daud Kabanda
11. Francis Casto Maganga
12. Geofrey Julius Mwalyego
13. Yusuph Abdallah Lulinda
14. Steven David Mazanda
15. Deus David Kaseke
16. Hassan Charles Mwasapili
17. Juma Ramadhan Abdi
18. Mussa Rajabu Lusewe
19. Baraka Felix Haule
20. Mohamed Said Kijuso
21. Jeremiah John Mangasin
22. Kenny Ally Mwambungu
23. Christian Sembuli Kimwaga
24. David Abdallah Burhan
25. Paul John Nyangwe
26. Paul Michael Nonga
27. Peter Pascal Mapunda
28. Azizi Issa Sibo
 
Back
Top Bottom