Mbeya City Football Club - Special Thread!

Mbeya City Football Club - Special Thread!

msimu huu Azam amechukua ,sina shaka msimu Ujao ni wa Mbeya City ,kwani wameshapata -exposure ya kutosha.Mmeleta RAHA sana ktk mpira wa Bongo.

wana mpira wa kizamani sana, mpira unachezwa kisayansi sio vurugu..
 
Ndugu zangu wadau naitwa Stephene Mazanda nafsi inanisuta Mbeya City bado inanidai ubingwa naungana na ndugu yangu Mwagane Yeya kusema kuwa hapa mimi bado nipo sana tu.

sosi fans page fb mcc fc
 
Ndugu wadau timu yenu ya Mbeya City Fc imepewa nafasi na katibu mkuu wa SECAFA Mh Nicholaus Mufonye kushiriki michuano ya kombe la mto Nile "SECAFA NILE BASIN CUP" yatakayofanyika Hatoom Sudan kuanzia tarehe 22/5/2014 hii ni heshima iliyotokana na timu yenu kufanya vizuri na kuleta changamoto katika tigi kuu.
Ifuatayo ni orodha ya timu zitakazoshiriki na nchi zinakotoka.
El-shandy, El-arab, Merreck. zote za Sudan
Victoria university ya Uganda
Ports ya Djibouti
Ismailia ya Misiri
Polisi ya Zanzibar
Mbeya city ya Tanzania
polisi ya Ruanda
Fumbiue ya Burundi
A F C Leopards ya Kenya
De fence forces ya Ethiopia
El- mereck ya Sudan kusin
El-man yaSomalia
Anaeonekana pichani ni katibu mkuu wa SECAFA Bw.Nicholaus Musonye timu hizo zitashindania Dollar 30,000.
maombi yenu ndio mafanikio ya timu yetu, tutakujulisha siku ya timu kuondoka kuelekea Sudan.
FREDDY JACKSON
AFISA HABARI MCC FC.
 
Ina maana hii Habari imeandikwa na AFISA HABARI?????
 
Asanteni kwa maombi yenu hapa katika jiji la Khartoum tumeshinda 3-2 dhidi ya timu ngumu ya Akademie wafungaji ni Paul Nonga' Mwagane yeya na Temy Felix pia kombe la muungano timu yetu ya U20 imeshinda 7-1 kule iringa
 
Tupo pamoja mkuu,nimevaa jezi ya club hapa.Endeleeni kukaza moto uleule.VIVA
 
Themi Felix ametupia goli lake la kwanza akiwa na City hiyo jana dhidi ya Academy ya Burundi.
 
Mbeya city leo imeshinda goli tatu kwa mbili huko sudan. Kumbuka wamecheza masaa machache baada ya kufika Sudan. Mia
 
Mbeya city nimeamini kweli hawabahatishi, duh! 3 kwa 2 hii si mchezo, kweli msonye alifanya kazi ngumu kufanya uteuzi wa kuichukua mbeya city
 
Hii ndio ratiba kamili ya Cecafa Nile Basin Cup yatakayofanyika Khartoum Sudan.

Mei 22, 14;
Victoria University Vs Malakia (Khartoum Saa 11:00 jioni)
El Merreikh Vs Polisi (Khartoum Saa 2: 00 usiku)
Arab Cont. Vs Flambeau de l'Est (Port Sudan Saa 11:00 joni)
Hey Al Arab Vs Etincelles (Port Sudan Saa 2:00 Usiku)

Mei 23, 2014
AFC Leopards Vs Elman (Khartoum, Saa 11:00 Jioni)
El Merreikh Al Fasher Vs Mbeya City (Khartoum Saa 2:00 Usiku)
Al Masry Vs Dikhil (Shandi Saa 11:00 Jioni)
Al Ahli Shandi Vs Defence (Shandi Saa 2:00 Usiku)

Mei 24, 2014
Polisi Vs Victoria University (Khartoum Saa 11:00 Jioni)
Malakia Vs El Merreikh (Khartoum Saa 2:00 Usiku)
Flambeau de l'Est Vs Etincelles (Port Sudan Saa 11:00 Jioni)
Arab Contractors Vs Hey Al Arab (Port Sudan Saa2:00 Usiku)

Mei 25, 2014
Mbeya City Vs AFC Leopards (Khartoum Saa 11:00 jioni)
Elman Vs El Merreikh Al Fasher (Khartoum Saa 2:00 Usiku)
Defence Vs Al Masry (Shandi Saa 11:00 Jioni)
Dikhil Vs Al Ahli Shandi (Shandi Saa 2:00 Usiku)

Mei 26, 2014
Polisi Vs Malakia (Khartoum Saa 11:00 Jioni)
El Merreikh Vs Victoria University (Khartoum Saa2:00 Usiku)
Arab Contractors Vs Etincelles (Port Sudan Saa 11:00 Jioni)
Hey Al Arab Vs Flambeau de l'Est (Port Sudan Saa 2:00 Usiku)

Mei 27, 2014
Elman Vs Mbeya City (Khartoum Saa 11:00 Jioni)
El Merreikh Fasher Vs AFC Leopard (Khartoum Saa2:00 Usiku)
Dikhil Vs Defence (Shandi Saa 11:00 Jioni)
Al Ahli Shandi Vs Al Masry (Shandi Saa 2:00 Usiku)

Mei 28, 2014; Mapumziko
Mei 29 na 30, 2014; Robo Fainali
Juni 1, 2014; Mapumziko
Juni 2, 2014; Nusu Fainali
Juni 3, 2014; Mapumziko
Juni 4, 2014; Fainali na Mshindi wa tatu

FREDDY JACKSON
AFISA HABARI MCC FC
 
Mleta taarifa hatoi hata ufafanuzi vip? inasonga ama ndo kupanda ndege tena
 
Bado mechi moja na wanyarwanda mfungwe mtuletee wakina Saad Kipanga, kaseke na Mazanda tuwasajili MSIMBAZI.
 
Ndugu wadau wetu na wananchi kwa ujumla nawapa taarifa kuwa tumemsajili kiungo Peter Mwalyanzi kutoka Mgambo JKT ila alikuwa mchezaji huru baada ya mkataba wake kumalizika kwa maafande hao wa JKT.
FREDY JACKSON
AFISA HABARI MCC FC

credit: Mcc fc fan page
 
Tunashukuru kwa maombi yenu yaliyoiwezesha mbeya city kutinga robo fainali ya cecafa nile basin cup matokeo ya leo. Mbeya city 0 Enticelles 0 matokeo haya yanaipeleka mbeya city katika hatua ya robo fainal
 
Back
Top Bottom