Una swaga za kuzaa na huyu?Oya mbegu nzuri ndio kama yangu maana katoto kako kamoja nilikusaidia😂😂😂😂
Ebu tupe sababuNaomba wanangu wa kike wafanane na baba yao
Nina maana yangu
Baba yao ni sura pasonoEbu tupe sababu
Unawatengenezea maisha magumu huko uzeeniBaba yao ni sura pasono
Mabinti zangu wakiwa na sura pasono kwanza watasoma bila kusumbuliwa
Ni sababu zipi zinazopelekea wao kuzaa nje?...women are like machines, so it requires knowledge and experience (long term/permanent) to work with them every day
seeds(sperms) are not an issue, an issue is the experience of operating machinery in the industry
Halafu pia wataolewaUnawatengenezea maisha magumu huko uzeeni
Mbegu bora siku zote utafutwaHalafu pia wataolewa
Hakuna mwanamke atakayekwenda kuomba mbegu kwa kapuku hata awe handsome kiasi gani.Kama huna mtoto mpaka sasa, na hakuna mwanamke aliyekuja kukuomba uzae nae, juwa kuwa mbegu yako si nzuri.
Ata kwenye mashamba, huwa tunachagua mbegu nzuri na kuiotesha, hivyo hivyo na kwenye mifugo, tutaangalia ile mbegu nzuri na kuipandikiza kwenye jike.
Pia, na kama unatumia pesa nyingi kwenye kuhonga ili umpate umpendaye, hii pia inathibitisha mbegu yako si nzuri.
Mbegu nzuri, sehemu yoyote utafutwa kwa gharama yoyote, na mbegu mbaya upambana ili iweze kuonekana ni nzuri.
Hii ni mada ngumu, lakini ndio ukweli wenyewe.
Ila adui unayemmudu usimwachie MunguKuna msemo unasema, mwenye nguvu mpishe
Wanawake wazuri hawaolewi we angalia single mother wengi ni pisiMbegu bora siku zote utafutwa
Ni vizuri pia kujifarijiHakuna mwanamke atakayekwenda kuomba mbegu kwa kapuku hata awe handsome kiasi gani.
Yesu alijitoa sadaka msalabani, ni wangapi wenye upendo kama wa Yesu?Ila adui unayemmudu usimwachie Mungu
Wanawake wazuri hawaolewi we angalia single mother wengi ni pisi
Sasa sitaki yawakute mabinti zangu ndo maana nataka wafanane na baba yao au shangazi zao 😅Tatizo wana mahitaji makubwa, wao wanawaza range, na wengi sisi ni makapuku inabidi kuwakimbia.
HakunaYesu alijitoa sadaka msalabani, ni wangapi wenye upendo kama wa Yesu?
Nguvu ya ndani haiwezi kufanya chochote, 'only external forces' rejea Yahya Jammeh, Gambia.Hakuna
Inayoleta matokeo mazuriMbegu ya tango au mbegu ya ndizi...
Elezea point 5