Mbegu nzuri ukubalika kila sehemu

Mbegu nzuri ukubalika kila sehemu

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,107
Reaction score
55,524
Kama huna mtoto mpaka sasa, na hakuna mwanamke aliyekuja kukuomba uzae nae, juwa kuwa mbegu yako si nzuri.

Ata kwenye mashamba, huwa tunachagua mbegu nzuri na kuiotesha, hivyo hivyo na kwenye mifugo, tutaangalia ile mbegu nzuri na kuipandikiza kwenye jike.

Pia, na kama unatumia pesa nyingi kwenye kuhonga ili umpate umpendaye, hii pia inathibitisha mbegu yako si nzuri.

Mbegu nzuri, sehemu yoyote utafutwa kwa gharama yoyote, na mbegu mbaya upambana ili iweze kuonekana ni nzuri.

Hii ni mada ngumu, lakini ndio ukweli wenyewe.​
 
Sawa
Oktoba mkattkii ili mpate mbegu bora
 
downloadfile.jpg
 
Oya mbegu nzuri ndio kama yangu maana katoto kako kamoja nilikusaidia😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom