Nishakwambia historia yako inapatikana kwa wengine...ujitolee historia yako ili ujipakulie minyama??? Hell noHao ni wabaya wangu ni heri ungenuiliza mimi muhusika. Hao watakudanganya tuu
Kitaalamu inaitwa jinua achebe broKwa hiyo huku anaonesha utani kule chuki!!
Hii kitaalamu tutaiitaje asee!!
Kitaalamu inaitwa jinua achebe bro
Hizi multiple id's zitatukamata wengiNishakwambia historia yako inapatikana kwa wengine...ujitolee historia yako ili ujipakulie minyama??? Hell no
Haya tuambie sasa msimamo wako kwa Seran , unamkubali ama humkubali manake unatuchanganya!
Actually ile issue akirudi atawapa mkasa woote. Inshort yeye ndo alisababisha nikala ban. Kuhusu kumkubali Hapana kwa kweli maana kwa tabia zake mimi nikasome.Nishakwambia historia yako inapatikana kwa wengine...ujitolee historia yako ili ujipakulie minyama??? Hell no
Haya tuambie sasa msimamo wako kwa Seran , unamkubali ama humkubali manake unatuchanganya!
Hapana! Seran walipewa ban wengi nilipitwa walivyokua wanatukanana
Hizi multiple id's zitatukamata wengi
Unajua nilikua nishaanza kumuelewa kwa id yake ya de gunner.
Kumbe ningekua na wachumba wawili jf bila kujijua de gunner na elevenn
nipe na mimi mwongo coz i want to add dr. >doctor nyuma ya jina langu lisomeke kama Dr. MopakNilisha pata mwongozooo
Your username was last changed on Jul 18, 2026 at 7:45 PM. You may next change your username on or after Aug 17, 2026.
Ni mpaka hiyo time frame iishe.
Majani ya maboga , nyanya chungu mchanganyiko wa dagaa , bamia , weka na tuviazi mviringo viwili , hapa naona anakaribia mboga saba, akiwa kajiachia sebuleni kwa shemeji yake broNi mwendo wa kujitekenya tu na mboga zake 7 za mchongo
Actually ile issue akirudi atawapa mkasa woote. Inshort yeye ndo alisababisha nikala ban. Kuhusu kumkubali Hapana kwa kweli maana kwa tabia zake mimi nikasome.
Akishiba mboga 7 za mchongo analog in kwa IDs 12 humu kutusumbuaMajani ya maboga , nyanya chungu mchanganyiko wa dagaa , bamia , weka na tuviazi mviringo viwili , hapa naona anakaribia mboga saba, akiwa kajiachia sebuleni kwa shemeji yake bro
De Gunner ndo mimi haswa 11 alikuja na intentions za kufanya revange ambayo haikuzaa matunda na karudi I aliko tokaHizi multiple id's zitatukamata wengi
Unajua nilikua nishaanza kumuelewa kwa id yake ya de gunner.
Kumbe ningekua na wachumba wawili jf bila kujijua de gunner na elevenn
Chief godlove je?De Gunner ndo mimi haswa 11 alikuja na intentions za kufanya revange ambayo haikuzaa matunda na karudi I aliko toka
Huyo ni The IcebreakerChief godlove je?
😅😅nataka aendelee kujiamini hivyo hivyoAkishiba mboga 7 za mchongo analog in kwa IDs 12 humu kutusumbua
Hapana! Seran walipewa ban wengi nilipitwa walivyokua wanatukanana
🤣🤣😅😅nataka aendelee kujiamini hivyo hivyo