Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,495
- 8,539
Mnajuaje Kama hajaandika kwenda kwa katibu wa bunge!?Katiba inamtaka amuandikie barua ya taarifa Katibu wa Bunge. Haijataja kikao maalum cha Bunge. Na ofisi za Bunge ziko wazi siku zote.
Wabunge ataenda kuwaaga tu kama Spika wao. Ila atabaki nao kama mbunge wa kawaida.
Amefanya kiburi tu.
Amandla...
Ni msumbufu, nadhani udogo wa umbo na wenyewe ni tatizo. Kaonyesha kiburi kisicho na sababu lakini ni ngumu sana kwake kushindana na rais aliye madarakani.Katiba inamtaka amuandikie barua ya taarifa Katibu wa Bunge. Haijataja kikao maalum cha Bunge. Na ofisi za Bunge ziko wazi siku zote.
Wabunge ataenda kuwaaga tu kama Spika wao. Ila atabaki nao kama mbunge wa kawaida.
Amefanya kiburi tu.
Amandla...
Shame on us. Halafu tunajitapa kwa majirani eti tuna mihimili huru, uhuru upi huo mtuoneshe?Katibu wa Bunge anateuliwa na Rais!
Katibu wa Bunge amesema amepokea nakala ya barua husika.Mnajuaje Kama hajaandika kwenda kwa katibu wa bunge!?
Nitakuthibitishia baada ya wewe kunithibitishia kuwa Katiba inamtaka aandike barua ya kujiuzuru kwa Katibu Mkuu wa chama chake.Hilo neno Katibu wa Bunge unaweza kuthibitisha ni wapi limetajwa kwenye Katiba au umesimuliwa mkuu?
Aacheni bangi soma katiba inasemajeMwajiri wa spika ni chama maana ndio kilimdhamini kuwa spika ....bila CCM katibu wa Bunge hamtambui Job.....katibu wa Bunge anapokea barua ya chama kuthibitisha kujiuzuru kwa mtumishi wake. Na katiba imeelezea vizuri kujiuzuru kutaelekezwa kwenye mamlaka zilizo kuteua. Job kateuliwa na CCM na kupigiwa kura na bungeni.
Ni kazi ya mwajiriwa wa bunge (katibu) kupokea taarifa na kuanza maandalizi ya uchaguzi wa spika baada ya kupokea jina toka kwa mdhamini wa mgombea.
Na ameshaijibu tayari,na amethibitisha kiti cha spika Kiko wazi,na tarehe 11 feb uchaguzi wa spika,Katibu wa Bunge amesema amepokea nakala ya barua husika.
Amandla...
Hahaha subilia sana kwamba atajiuzulu kikatiba .... nothing will change those speculations ati ameshinikizwa na chama will remain yours... amejiuzuru kwa kuwa hakubaliani na rais na jopo lake la wapigaji. Kusema chama ni nani wakati na yeye yupo kamati kuu ni ujinga ulipitiliza. Ukopa fedha ambazo tayari umezitungia sheria ya kuzikamua kwa watu... then zifanye kazi ipi?Umeandika upuuzi mtupu. Hakuna unachojua. Kasome katiba.
Hata wabunge wanadhaminiwa na vyama lakini wakijiuzulu, wanaandika barua kwa spika.
Spika amedhiniwa na chama chake kugombea nafasi ya uspika, lakini aliyemchagua kuwa spika, siyo chama chake. Na sheria ipo wazi kuwa spika atapaleka taarifa ya kujiuzulu Bungeni, siyo kwenye chama.
Ni akili ndogo sana inahitajika kuelewa hili. Ndugai siyo kwamba haelewi ila amefanya hivyo kuonesha kwamba ameshinikizwa na chama, na hivyo kuwataarifu hao waliomshinikiza kuwa kama uspika ni mali ya chama, basi amejiuzulu, lakini, kikatiba hajajiuzulu bado.
We ambaye huvuti bangi..ugolo umekusaidia nini? Unahangaika na katiba ipi?Aacheni bangi soma katiba inasemaje
Kumbe nawasiliana na mtoto! Tarehe 17 ifike haraka urudi shule.Nitakuthibitishia baada ya wewe kunithibitishia kuwa Katiba inamtaka aandike barua ya kujiuzuru kwa Katibu Mkuu wa chama chake.
Amandla...
Anasema anayejiita akili neneKumbe nawasiliana na mtoto! Tarehe 17 ifike haraka urudi shule.
Ndugai hana akili timamuNi kweli Katiba inatamka kwamba Spika atajiuzulu mbele ya Bunge, na nikweli kabisa kwamba Spika alipaswa kujiuzulu mbele ya Bunge. Lakini ukweli uliowazi kwamba yeye kiu ya kuongoza Bunge imeisha kipindi ambacho hakuna Bunge linaendelea. Ilikuwa haiwezekani kujiuzulu mbele ya Bunge maana ilo Bunge halijakaa litakaa February
Endapo angeitisha bunge maaalumu kwa ajili ya kutangaza kujiuzulu mambo mawili yangetokea yasiyo na tija
1. Angevunja katiba kwa sababu kujiuzulu kwake hakujatajwa kwamba ataitisha Bunge la dharura.
2. Wabunge wangelazimika kulipwa stahiki za vikao vya dhararu pesa ambayo Ingetokana na kodi za wananchi na may muhimili wa serekali unaotunza fedha ungeweza kuzalisha audit query au Kugoma kulipa Kama ambavyo umewahi kuingilia bunge Hadi wakarejesha fedha kwa JPM
Kwa msingi huo Mhe Ndugai yupo sahihi kumjulisha Katibu wa Chama na kuwapa nakala Bunge Kwa ajili yakuanza maandalizi ya kujaza nafasi itakayokuwa wazi kikatiba hapo February. Hivyo takwa la kikatiba litatimizwa kwenye kikao kijacho Cha Bunge ambacho kitapokea taarifa rasmi ya kujiuzulu uspika na baadaye taratibu za kumpata spika mpya kufanyika.
Nimwombe Mhe. Mbatia asiangaike kwenda Mahakamani maana anachotaka kifanyike leo kisingeweza kufanyika hadi February. Kwa tafsiri nyingine Bunge halina taarifa rasmi yakujiuzulu kwa Spika hadi litakapokaa na kupewa taarifa ndipo mchakato wa kosheria wa kujiuzulu utakapokamilika.
Mwisho, nishukuru kwamba wale wote walioshindwa kutumia akili na maarifa waliyopewa na Mwenyenzi MUNGU wanavuliwa nguo. Ndugai alishindwa kujua Spika ana kazi gani yeye akawa anaambatana na RAIS Kila anapokwenda, akawa anapokea maelekezo Nini akafanye Bungeni, Leo wale waliomtuma wamemtumbua kwa fedhea
Upo sahihi snUmeandika upuuzi mtupu. Hakuna unachojua. Kasome katiba.
Hata wabunge wanadhaminiwa na vyama lakini wakijiuzulu, wanaandika barua kwa spika.
Spika amedhiniwa na chama chake kugombea nafasi ya uspika, lakini aliyemchagua kuwa spika, siyo chama chake. Na sheria ipo wazi kuwa spika atapaleka taarifa ya kujiuzulu Bungeni, siyo kwenye chama.
Ni akili ndogo sana inahitajika kuelewa hili. Ndugai siyo kwamba haelewi ila amefanya hivyo kuonesha kwamba ameshinikizwa na chama, na hivyo kuwataarifu hao waliomshinikiza kuwa kama uspika ni mali ya chama, basi amejiuzulu, lakini, kikatiba hajajiuzulu bado.
Yaani RAIS amejipachika kila kona. Huu upuuzi upo Tanzania na kwingine ambapo mhimili mmoja ndio kila kitu.Katibu wa Bunge anateuliwa na Rais!
[https://res]Ni kweli Katiba inatamka kwamba Spika atajiuzulu mbele ya Bunge, na nikweli kabisa kwamba Spika alipaswa kujiuzulu mbele ya Bunge. Lakini ukweli uliowazi kwamba yeye kiu ya kuongoza Bunge imeisha kipindi ambacho hakuna Bunge linaendelea. Ilikuwa haiwezekani kujiuzulu mbele ya Bunge maana ilo Bunge halijakaa litakaa February